Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Possible kabisaa...
Nadhani wasanii wa bongo Kwa Hela Hakim aka Nassib Abdul[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]anaongoza
Ana vitega uchumi vingi ACHA nyumba za Kigoma hukoo
Tuwekeni tu unaafiki pembeni

Kama kaamua kujiwekeza basi anastahili pongezi
Kuna wasanii wanakufa na majina tu hawana kitu
 
Bosslady na socialite Zarina Hassan Aka mama watano na mdada mwenye mbwembwe East Africa ameolewa Jana Kwa Ndoa ya kidini Huko Kwa Uganda

Picha zimetrend akiwa na anavalishwa Pete na huyo mmewe mpya

Kiukweli mi mmefurahi Sana maana dini inatuambia Ndoa ni nusu ya dini hvyo amekamilisha nusu ya dini yake haijalishi kaolewa na masikini,tajiri,sijui mara katoto n.k

Nimeona Instagram Watu wamemponda Sana kuwa kaolewa na katoto mara sijui hana pesa. Honestly tuacheni wivu Ndoa ni Mungu anapanga nani atakuoa na kwa wakati gani muhimu ni dua tu kupata mume mwema

Tuacheni wivu,chuki na hasad Zari anaweza kuwa alikuwa gold digger lakini kaamua kubadilika atulie kaolewa maisha ni mafupi sana kuna muda wa kutubia

Kama zinaa kaifanya mnoo mpaka kufikia kuzaa watoto wote wale

Hao wenye pesa Sio ambao Mungu alimpangia kuolewa nao

Kwa sisi wenye dini zetu (Kwa wapagani mtanisamehe)
Ndoa ni heshima pia Kwa kuwa watoto wake kwa sasa ni wakubwa wanahitaji kuona mama ametulia kudanga danga na wanaume kwa umri wake haileti picha Nzuri haswa kwa tamaduni zetu za kiafrica

Nawaombea Kila kheri ktk Ndoa yake na mumewe katika maisha yake mapya ya Ndoa akamtii mumewe na ajue Kwa Sasa km ni Ndoa ya kiislam baasii mume Ndo Pepo yake akatulie
Hakika Ndoa ni stara , wengine huku usiku unaanza kuwaza sijui nimcheki mwaju kama yupo online mara Eva ukilala unaanza kuota unavamiwa na jambazi kama Uzi wa nani sijui nmeona😂😂
 
Back
Top Bottom