Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
We yako na Smart911 tulikuombea heri mwishowe mkatupotezea nafasi ya kula ubweche 😓😓😓Tunamuombea Kila lenye kherii katika ndoa yake hio!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We yako na Smart911 tulikuombea heri mwishowe mkatupotezea nafasi ya kula ubweche 😓😓😓Tunamuombea Kila lenye kherii katika ndoa yake hio!
Umeloa! umeloaaa..Lishangazi limeolewa na kibenten
Ila ataufaidi ule mpaja mnene
Ule mpaja kila nikiuona tu nalowa
Sawa mama D, na Mimi sijawazuia 😅😅😅Wacha waoane eeee
[emoji23][emoji1787] ya ngapiNaskia Dida nae anaolewa tena [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Dida ni next level 😅😅Dida hatakagi kabisa zinaa
😎😎
Dah hii inaweza kuwa hata ya 10, ngoja mama D aje na taarifa kamili 😅😅😅
Mwezi huu wameolewa mapresident wa masingle Maza toka nchi mbili tofauti wote Wana watoto 5,aged45+ kwa hiyo muache bint asome zake mpaka hiyo PHDndoa zipo tu😁😁😁Si wanasemaga eti Mwanamke lazima aolewe mapema walau 23-33 hapo, kumbe inawezekana Mwanamke kuolewa akiwa na 40+ 🤔
Ngoja Binti yangu nimkomalie asome hadi amalize PhD yake ndiyo aje aolewe 🤗
Ila kwa Akothee iliweza sana...Mwezi huu wameolewa mapresident wa masingle Maza toka nchi mbili tofauti wote Wana watoto 5,aged45+ kwa hiyo muache bint asome zake mpaka hiyo PHDndoa zipo tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa kweli ya Okothee ilikuwa real Sana!Ila kwa Akothee iliweza sana...
Na ninampendaga...Kwa kweli ya Okothee ilikuwa real Sana!
🤣🤣🤣Zari akaufyata!anamjua maneno yake,kwanza soma tu Yale magazeti yake ndio utajua kichwa chake kikoje!Yuko smart Sana yule dada anajua kucheza na fursa sema kuna muda anajitiaga Chizi🤣🤣Na ninampendaga...
Yule ndiyo huwa kiboko ya Zari....Hafurukuti pale....
Wakati walipogombana Akothee alimwambia asikie tu hata amemtaja kwa bahati mbaya...Atamjua[emoji1787]