Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Si wanasemaga eti Mwanamke lazima aolewe mapema walau 23-33 hapo, kumbe inawezekana Mwanamke kuolewa akiwa na 40+ 🤔

Ngoja Binti yangu nimkomalie asome hadi amalize PhD yake ndiyo aje aolewe 🤗
 
Hakuna kitu kama hicho. Hakunaga mwanamke malaya akaamua kutulia. Wanapoaga tu. Muda wowote wanafanya yao.
 
Si wanasemaga eti Mwanamke lazima aolewe mapema walau 23-33 hapo, kumbe inawezekana Mwanamke kuolewa akiwa na 40+ [emoji848]

Ngoja Binti yangu nimkomalie asome hadi amalize PhD yake ndiyo aje aolewe [emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]muhimu awe na mtonyo tuuu ataolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…