Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Hongera zake, kuna watu wanazisaka kwa tochi hizo ndoa mixer kutegeshea mimba na kuroga sanaa ila wapi so akitulize tu shangazi huyu sio kupasha viporo na baba tiffa mana breki hazikabi kwa kale kajamaa
Naimani mpk pale alipo atakua kajifunza mnoo na atatulia Kwa uwezo wa Mungu[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
 
Mungu wa waislam anachezewa sana kwenye suala la ndoa. Zari malkia wa wadanganji na ma slay queens.
Wala hachezewi oaneni tunaambiwa hivi "oaneni Kwa wema na achaneni Kwa wema"
Ndoa ni upendo huruma na mapenzi kama hvyo hakuna hakuna ndoa hapo
Unapomuita Zari Malkia wa wadangaji unakosea wanadamu wanabadilika mbona,kaamua kutulia jamani dada wa watu
 
Back
Top Bottom