Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Mashallah Zarina Hassan kaolewa

Wazazi mkae vizuri na vijana wenu , muwahusie sana juu ya swala la ndoa na mahusiano. Muwaambie ukweli kuwa mwanaume hana cha kuharakia katika Ndoa kama mwanamke. Hakunaga mwanaume anayechelewa kuanza maisha ya Ndoa ila mwanamke ndie huchelewa.

Mwambie mwanao kuwa mwanamke akicheza na kuleta masihara katika umri chini ya miaka 25 huku juu kinachofuata ni mikosi na mabalaa na Ndoa inakuwa ni swala la kubahatisha kama sio la kupambania.

Mwambie yeye kwamba mwanaume thamani yake huanza kuanzia miaka 30 hadi uzee. Mwambie miaka 29 ya kwanza ndio umri anatakiwa kujijenga na kujiimarisha kiakili zaidi na sio umri wa kulilia mapenzi na kuhangaika na wanawake kihisia.
Umenena kweli kbsa mkuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna Interview yake moja Aliukizwa inasemekana ameiba Bwana wa watu...

Akajibu..."Wakati Bwana anaibiwa Mlinzi wa kulinda Bwana alikuwa wapi"[emoji1][emoji1][emoji1]
Mie nilichekaa kuna interview aliulizwa hivi, mbna wee ni mtu mzima ila unafanya mambo ya kitoto,
Akajibu hata hao watoto wafanye mambo ya kikubwa km wana uwezo lakini.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada nilicheka ile siku km chizii yaan.
 
Wazazi mkae vizuri na vijana wenu , muwahusie sana juu ya swala la ndoa na mahusiano. Muwaambie ukweli kuwa mwanaume hana cha kuharakia katika Ndoa kama mwanamke. Hakunaga mwanaume anayechelewa kuanza maisha ya Ndoa ila mwanamke ndie huchelewa.

Mwambie mwanao kuwa mwanamke akicheza na kuleta masihara katika umri chini ya miaka 25 huku juu kinachofuata ni mikosi na mabalaa na Ndoa inakuwa ni swala la kubahatisha kama sio la kupambania.

Mwambie yeye kwamba mwanaume thamani yake huanza kuanzia miaka 30 hadi uzee. Mwambie miaka 29 ya kwanza ndio umri anatakiwa kujijenga na kujiimarisha kiakili zaidi na sio umri wa kulilia mapenzi na kuhangaika na wanawake kihisia.
Naiwekea lamination mkuu
 
Back
Top Bottom