Plot4Sale Mashamba yanauzwa Mkuranga, Pwani

Njoo upate maeneo ya mashamba ya kutosha yaliokaribu na Dar kwa bei nafuu kabisa kijiji huduma zote muhimu zipo pamoja na umeme na maji ya kutosha, wekeza kwenye ardhi hutakuja kujuta kila siku ardhi inapanda thamani kumbuka mkuranga ni wilaya ya viwanda maeneo haya ni akiba na hazina yako bei kwa eka kuanzia milioni moja na nusu na kuendelea.

Simu: +255625977427 wasap ipo.
 

Weka picha za mashamba unayoyauza, maana hizi umeweka ni kama mashamba ya watu yaliyoandaliwa tayari
 
NJOO NDUGU YANGU UWEKEZE KWENYE ARDHI MAHALA SALAM MKURANGA NI WILAYA YA VIWANDA ARDHI ZAKE ZINAPANDA THAMANI KILA SIKU TUNAYO MAENEO YA KUTOSHA BEI ZETU KUANZIA MILIONI MOJA NA NUSU KWA EKA MOJA NJOO MAPEMA PIA KIJIJI CHETU HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO UMEME NA MENGINE +255625977427 NJOPEKAFARM ULIPO TUPO.
 
TUPO MKURANG PWANI BEI YA MCHE 1500 PIA MASHAMBA NA MAENEO YA VIWANDA BADO YAPO KWA BEI NAFUU KABISA SHAMBA KUANZIA MILIONI MOJA NA NUSU KWA EKA MOJA KARIBU NA DAR KABISA +255625977427
 
TUNAYO MASHAMBA BEI KUANZIA MILIONI MOJA NA NUSU KWA EKA +255625977427
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…