Plot4Sale Mashamba yanauzwa Mkuranga, Pwani

TUNAUZA MASHAMBA MWARUSEMBE PWANI EKA BEI MILIONI MOJA NA NUSU UMBALI KILO MITA TATU KUTOKA LAMI +255625977427
 
Tunayo maeneo mazuri ya kufugia kwa bei nafuu eka laki 7 +255625977427
 
pwani yetu karibuni wawekezaji ,yapo maeneo ya viwanda na mashamba ya kutosha +255625977427
 
Shamba eka 50 lipo matanzi mkurang pwani eneo zuri kwa ajili ya kufuga limetengwa na serikali pia unaweza kulima maji ya kutosha lipo mbali na makazi ya watu kila eka laki 6 karibu saana +255625977427View attachment 2494585
Hili bado lipo? Pia ningependa kupata shamba mkoa wa Tanga ndani ndani huko. Sitaji barabara ilimradi shamba linafikika na upatikanaji wa maji upo japo siyo lazima.

Nipe maelekezo tufanye biashara hata kesho.
 
Utakuwa unataka kulima bangi wewe ngoja nikufuatilie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…