makoga pangatulale
Member
- Oct 30, 2017
- 78
- 90
Lupembe sehemu gani mkuu.
Shamba lenye miti mbao ya mwaka mmoja ni sh ngapi kwa ekari?
Mkuu na miche inauzwaje? Je acre inaingia miche mi ngapi? Inachukua miaka mi ngapi kuanza kuvuna. Ukiweza kunisaidia hayo majibu, ntakutafuta
Wakulima wengi Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini (Big 4/5) walishakata tamaa ya kilimo cha miti na maparachichi kwa sababu hakuna masoko. Wengi wameishia kuwa maskini na miti maparachichi yanaozea mashambani. Wizara ya Kilimo imeshindwa kabisa kuwasaidia Wakulima
Sijaielewa yani haya mashamba yanauzwa au kukodisha??
Unauliza linalouzwa na ardhi pamoja au
Ndio bei zakeMmh shamba laki 1/ eka? (Kununua)? Hapa naona mtu anaenda kutapeliwa mchana peupe. Tena utaambiwa tuma kwa namba hii