Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

Maparachichi aina gani umepanda? Yako mangapi kwa ekari moja?
 
Hapo ni 900,000/- kwa heka moja. Embu tudadavulie gharama za heka moja tulinganishe na hii 900,000/-

Kwahiyo akishakudadavulia auze bei aliyogharamia? Itakuwa sio biashara sasa bali msaada, option zipo mbili uombe upunguziwe kama itafaa kwake au ulime la kwako ambalo nj gharama nafuu zaidi
 
Lipo Kijiji Cha matiganjola
Ktk kata ya ikuna wilayani njombe mkoa wa njombe
Lina ukubwa wa eka 20
Kutoka njombe mjini ni umbali wa kilomita 20 tu
Kuna chanzo Cha maji karibu
Gari linafika mpaka shambani
Bei ni tsh 600000 kwa eka
Lina limika kwa ng'ombe au trekta
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024

IMG-20210218-WA0026.jpg
IMG-20210218-WA0036.jpg
IMG-20210218-WA0033.jpg
 
Lipo Kijiji Cha matiganjola
Ktk kata ya ikuna wilayani njombe mkoa wa njombe
Lina ukubwa wa eka 20
Kutoka njombe mjini ni umbali wa kilomita 20 tu
Kuna chanzo Cha maji karibu
Gari linafika mpaka shambani
Bei ni tsh 600000 kwa eka
Lina limika kwa ng'ombe au trekta
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024
IMG-20210218-WA0027.jpg
IMG-20210218-WA0036.jpg
IMG-20210218-WA0034.jpg
 
6,000 au 60,000 au 600,000 au 6,000,000? Hamjui matumizi , kwenye namba?
 
Mbona linaonekana kuwa ni kame sana hotuba hakuna hadi kiti inakauka
 
Back
Top Bottom