Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

njoo kule kisarawe kwa Nikki wa2 nikupe kiwanja SQM 3600 kimepimwa saaf kabisa unipe Shanna ilo
 
Shamba lenye jumla ya eka 50,
Eka 7 zimepandwa parachichi na eka 43 hazijapandwa chochote linauzwa
Lipo ktk kijiji Cha mfriga ktk tarafa ya lupembe wilaya ya njombe mkoani njombe
Linauzwa kwa Bei ya tsh 10000000/= (milioni kumi tu) yaani kila eka ni tsh 2000000/=
Lipo karibu na maji na barabara Inafika mpaka shambani
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024
 
Linaonekana liko poa

Lipo karibu na maji ya mto, kisima,bwawa au ziwa? Hakuna picha ya hiko chanzo cha maji?
 
Mwakani lazima nije kuchukua kijiji huko.

Napenda sana kilimo.
 
Mm na haka Ka laki mbili kangu hata heka moja sipati mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…