makoga pangatulale
Member
- Oct 30, 2017
- 78
- 90
- Thread starter
- #141
Linauzwa shamba lote kwa pamojaMm na haka Ka laki mbili kangu hata heka moja sipati mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linauzwa shamba lote kwa pamojaMm na haka Ka laki mbili kangu hata heka moja sipati mkuu?
Ni kweli ni zuriShamba ni nzuri sana
Nikihitaji eka 10 naweza kupata!? Je, halina mgogoro? Linatambuliwa na wanakijiji? Lipo umbali kiasi gani kutoka njombe mjini.Lipo kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe, wilaya ya njombe na mkoa wa njombe
Lina ukubwa wa eka 100
Bei ya kila eka ni TSH laki moja na nusu (150,000/=)
Kunafaa kwa kilimo Cha matunda Aina ya parachichi,miti ya mbao na mazao mengine
Kuna mto karibu
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024View attachment 1933728View attachment 1933730
NipoJumatatu nakuja hapo nipo Njombe now
KunafikikaDaaa mfriga Lupembe ndani ndani huko Aisee Hivi usafiri vipi kunafikika kweli huko maana nasikia ni kisanga Barabara hasa masika!
Kutoka njombe mjini ni kilomita 80, ndio eka 10 unapataNikihitaji eka 10 naweza kupata!? Je, halina mgogoro? Linatambuliwa na wanakijiji? Lipo umbali kiasi gani kutoka njombe mjini.
Kwa hiyo haiwezekani ndugufanya 200 kwa heka moja tuongee bei
SHAMBA LA PARACHICHI LINAUZWA
lipo Kijiji Cha igombola ktk kata ya lupembe,wilaya ya njombe mkoani njombe.
Lina ukubwa wa eka 20 (ishirini tu)
Parachichi Zina mwaka mmoja Toka zipandwe
Shamba limekosa matunzo
Barabara inafikika kwa gari mpaka shambani
Limepakana na mto Kama unahitaji kilimo Cha kumwagilia
Bei ni TSH 450,000 kwa kila eka na linauzwa kwa eka zote ishirini kwa pamoja
Kwa masiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024 na Whatsapp 0764426929
View attachment 1846694View attachment 1846695View attachment 1846696View attachment 1846697View attachment 1846698View attachment 1846699
Lilishauzwa uzwa siku nyingiBado lipo?
Pata maarifa sahihi kuhusu zao la vanila na Hali ya hewa ya huko usemako..Nataka nije niwekeze vanila huko nimestaafu hapa nina vijihela hapa. Angalizo msije nifanyia kama yule mwalimu mstaafu