Mashamba yanayofaa kwa kilimo cha matunda aina ya parachichi au miti ya mbao yanauzwa

Nikihitaji eka 10 naweza kupata!? Je, halina mgogoro? Linatambuliwa na wanakijiji? Lipo umbali kiasi gani kutoka njombe mjini.
 
Shamba linalofaa kwa kilimo Cha matunda Aina ya parachichi au miti ya mbao na mazao mengine kama mahindi, maharage n,k
Lina ukubwa wa eka 50

Lipo kijiji Cha lyalalo ktk kata ya matembwe wilayani njombe

Lina uwezekano mkubwa wa kulimwa kwa treckta

Kuna maji ya kutosha

Bei ni tsh laki tatu tu(300,000/=)kwa kila eka

Usafiri unafika mpaka shambani

Halina miinuko mikali

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024

Lipo kijiji Cha lyalalo ktk kata ya matembwe wilayani Njombe

Lina uwezekano mkubwa wa kulimwa kwa treckta

Kuna maji ya kutosha

Bei ni tsh laki tatu tu (300,000/=)kwa kila eka

Usafiri unafika mpaka shambani

Halina miinuko mikali

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024

Linaonekana shamba zuri sana

Lakini mbona picha ya chanzo cha maji haipo
 
Bado lipo?
 
Ardhi mkoa haina thamani ,imagine ekari 20 tena na mazao eti bei ni milion 9?? Wakati milioni 9 dar unapata kiwanja kama kiganja cha mkono.
 
Unauza Dhahabu, Watu Wanasema Zao Hilo Ni Mkombozi
Unapiga Japo Robo Heka Ili Ionekane Kwa Wingi
 
Nataka nije niwekeze vanila huko nimestaafu hapa nina vijihela hapa. Angalizo msije nifanyia kama yule mwalimu mstaafu
 
Lipo kijiji Cha mfriga ,kata ya mfriga tarafa ya lupembe, wilaya ya njombe mkoani njombe
Lina ukubwa wa eka 20
Linauzwa tsh milioni kumi tu (10,000,000/=)
Lina miti Aina ya paina eka 2, Miche ya miparachichi 5 inayozaa mtunda
Kuna nyumba yenye vyumba vitano katikati ya shamba
Na eneo la eka 18 ni tupu
Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0742188846 au 0784340024 au 0711605570 na Whatsapp 0764426929, usitume smg

Nataka nije niwekeze vanila huko nimestaafu hapa nina vijihela hapa. Angalizo msije nifanyia kama yule mwalimu mstaafu
Pata maarifa sahihi kuhusu zao la vanila na Hali ya hewa ya huko usemako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…