Mashambulizi Mazito ya Mizinga ya Saudia Yaripotiwa huko Saada, Kaskazini Magharibi mwa Yemen

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
6,941
Reaction score
7,808
Ripoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen.

Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha Baraza la Mpito la Kusini mwa UAE (STC) linaloungwa mkono na UAE limeanzisha mashambulizi ya kushtukiza katika eneo la kusini mwa Taiz. Mapigano makali yameripotiwa huko al-Janad, kusini magharibi mwa Yemen, na kuzidisha hali ambayo tayari ni tete nchini humo.

View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1871320123811979398?t=dmKAXGGJiBxJ7Q17hpdY2A&s=09
 
Mbwa kala mbwa
 
Hakuna taifa la Kiislam lenye linaweza kurusha makombora Saudia, wana amini Saudia ni taifa takatifu kwao. Hata Iran akitaka kuipiga Saudia, atapiga visima vya mafuta nk, hawezi kupiga mji wowote
Maeneo ambayo hayaguswi ni mawili tu ndani ya Saudia, Makka na Madina. Kwengine kote kunapigika...

Mpaka sasa Yemen hakumgusa popote Saudi Arabia. Kipi kimemfanya Saudi Arabia amshambulie Yemen?
 
Watakipata wanachokitafuta.

Yemen walishaapa, kwa namna yoyote Saudi Arabia ikiivamia au kuzuia mashambulizi yao wanayoyafanya kuzuia meli zinazoelekea Israel watarudisha mapigo!

Nipo pamoja na Yemen.
Una roho ya umasikin sana ndugu yangu

Yaan wewe huwa unaungana na yeyote aliyefeli maisha pale anapopambana na tajiri

Sasa hao saud wamekukosea nini
 
Ripoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen.

Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha Baraza la Mpito la Kusini mwa UAE (STC) linaloungwa mkono na UAE limeanzisha mashambulizi ya kushtukiza katika eneo la kusini mwa Taiz. Mapigano makali yameripotiwa huko al-Janad, kusini magharibi mwa Yemen, na kuzidisha hali ambayo tayari ni tete nchini humo.

View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1871320123811979398?t=dmKAXGGJiBxJ7Q17hpdY2A&s=09

Ritz Adiosamigo na Webabu na mwenzie FaizaFoxy
 
This is a well calculated move by the US, Israel, Saudi Arabia,and other peace loving minded nations!!!
 
Back
Top Bottom