Mashambulizi Mazito ya Mizinga ya Saudia Yaripotiwa huko Saada, Kaskazini Magharibi mwa Yemen

Mashambulizi Mazito ya Mizinga ya Saudia Yaripotiwa huko Saada, Kaskazini Magharibi mwa Yemen

Saudia ajiangalie yuko karibu na hao Houthis hapo wakicharuka watamtoa damu, mwenzie Israel yuko mbali hapo kidogo, mpaka vitu vikatize red sea na kwenda kutua Haifa ni mbali sana
 
Saudia walishashindwa kuwang'oa wahouthi madarakani hapo awali......vipi waweze sasa?

Inashangaza namna mteja wa mabilioni ya silaha za kisiasa kutoka Marekani kashindwa kuwadhibiti wahouthi.

T14 Armata
Kuna kipindi pia mlisema hivyo hivyo kwamba Marekani na washirika wake wameshindwa kumuondoa Assad kisa eti Russia anamkingia Assad kifua lakini leo Assad hayupo Syria na bila shaka atazikwa uhamishoni hukohuko Russia.

Hawa magaidi wa Houthi pamoja na wafadhili wao Iran ni swala la muda tu kwani hawana mustakbali wowote huko tuendako, bado wanatafutiwa tu gepu.
 
Yemen ni kama tanga!?..akili zenu bana
Soma geography kidogo, wana njaa hata Tanga afadhali.l
Lakini hapohapo wanataka kupigana vita na Us huku Zirael kipigo mara 2 tu hawana hamu.
Muisrael bado kawaweka kiporo yuko Lebanon na Iran hadi Syria na dozi ya Gaza iko palepale.
Ndo mana nilisema ubongo wenu nyie kijiko haujai.
Alahu akibaru, alahu akibaru mmeshiba urojo mnaenda na vibomu vyenu uchwara kuvizia meli zinapita hapo tu Panama Canal.
Meli ina ndege vita 500,submarine 100,makombora zaidi ya 1000 huku na hizo drone mnatumia wao ndo kwanza wanatengeneza kila siku km popcorn.
Hapo wanaenda kuchokoza nchi za watu.
Muisrael kipigo kimoja tu ataua kila kitu.kawaacha wajifariji maana ana kazi nyingi za kufanya huko middle east.
Ndo mana Marekani kawatwanga kidogo wapoe.
Muisrael akija atavunja kila kitu.
 
Umesema Yemen ina ukubwa kama tanga,jiografia ya wapi hiyo tukasome?.. Yemen ina ukubwa wa 555000sqkm,tanga 26600, Yemen ina GDP ya $27b,kuna usawa gani na tanga!?.. elimu zenu shida sana,ndiyo maana mnauziwa mchanga na mafuta ya alizeti yaliyooombewa na mwamposa
 
Umesema Yemen ina ukubwa kama tanga,jiografia ya wapi hiyo tukasome?
Kuna haja ya mimi kukufundisha hapa?
nenda kasome huko Gdp ,hecta metre na kila kila kitu.then utajua
Tunaongea nini.
Mtu wa Yemen akienda Tanga atagoma kuondoka maisha.
Wapo hapo mnao? Wametoka huko.
 
Kuna haja ya mimi kukufundisha hapa?
nenda kasome huko Gdp ,hecta metre na kila kila kitu.then utajua
Tunaongea nini.
Mtu wa Yemen akienda Tanga atagoma kuondoka maisha.
Wapo hapo mnao? Wametoka huko.
Shudu gani hizi wewe!?
 
Saudia ajiangalie yuko karibu na hao Houthis hapo wakicharuka watamtoa damu, mwenzie Israel yuko mbali hapo kidogo, mpaka vitu vikatize red sea na kwenda kutua Haifa ni mbali sana
Kwa taarifa tu Houthi rebels wako kwenye vita na Saudi Arabia karibu miaka 10, tofauti ya Israel na waarabu, majeshi ya nchi za kiarabu sio efficient kwa hiyo yanateseka sana kufanya ground invasion hapo Yemen
 
Kobaz ni pumbavu sana, kanchi kadogo km mkoa wa Tanga tu.
Wakishiba urojo basi aah wanawaza kwenda kuteka meli pale panama canaly.
Wanachofanya ni uharibifu tu hamna vita.
Hao Yemen ni mateja kabisa kila mtu anakula mirungi huko
 
Zao kuu la biashara ni mirungi
1000059925.jpg
 
Sheikh wangu sijui kapotelea wapi. Huwa nawaza sana
Yuko umatumbili analima ufuta,kaona kobazi hata wafanye vipi hawatoboi mbele ya makafiri mana ala mwenyewe alisha sema israel mtoa roho ni moto wa kuotea mbali.
 
🇾🇪 Breaking | Yemen’s official stated:

We will make the degenerate enemy understand that Yemen is not the Syria of the Julani.

🔹@enemywatch
 
Back
Top Bottom