Hakuna taifa la Kiislam lenye linaweza kurusha makombora Saudia, wana amini Saudia ni taifa takatifu kwao. Hata Iran akitaka kuipiga Saudia, atapiga visima vya mafuta nk, hawezi kupiga mji wowoteMiddle East haitakuwa huru kamwe.
Nafikiria Houthis wakianza rusha BM zao hapo Saudi itakuwaje
Hivyo visima vya mafuta vipo wapi ?Hakuna taifa la Kiislam lenye linaweza kurusha makombora Saudia, wana amini Saudia ni taifa takatifu kwao. Hata Iran akitaka kuipiga Saudia, atapiga visima vya mafuta nk, hawezi kupiga mji wowote
Mbwa kala mbwaRipoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen.
Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha Baraza la Mpito la Kusini mwa UAE (STC) linaloungwa mkono na UAE limeanzisha mashambulizi ya kushtukiza katika eneo la kusini mwa Taiz. Mapigano makali yameripotiwa huko al-Janad, kusini magharibi mwa Yemen, na kuzidisha hali ambayo tayari ni tete nchini humo.
View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1871320123811979398?t=dmKAXGGJiBxJ7Q17hpdY2A&s=09
Na hivi yanapenda kugombana huku yanamtaja yule Allah wa HamasWagawe ili uwatawale ndicho wanachofanywa Kobazi
Vifaranga vya gaidi kuu Jamhuri ya kiislamu ya IranVifaranga vya joka kuu vitapigwa hadi viishee
Maeneo ambayo hayaguswi ni mawili tu ndani ya Saudia, Makka na Madina. Kwengine kote kunapigika...Hakuna taifa la Kiislam lenye linaweza kurusha makombora Saudia, wana amini Saudia ni taifa takatifu kwao. Hata Iran akitaka kuipiga Saudia, atapiga visima vya mafuta nk, hawezi kupiga mji wowote
Akikujibu nishtue na Mimi nduguHivyo visima vya mafuta vipo wapi ?
Una roho ya umasikin sana ndugu yanguWatakipata wanachokitafuta.
Yemen walishaapa, kwa namna yoyote Saudi Arabia ikiivamia au kuzuia mashambulizi yao wanayoyafanya kuzuia meli zinazoelekea Israel watarudisha mapigo!
Nipo pamoja na Yemen.
Nani kakuambia mimi ni masikini?Una roho ya umasikin sana ndugu yangu
Yaan wewe huwa unaungana na yeyote aliyefeli maisha pale anapopambana na tajiri
Sasa hao saud wamekukosea nini
Ritz Adiosamigo na Webabu na mwenzie FaizaFoxyRipoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen.
Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha Baraza la Mpito la Kusini mwa UAE (STC) linaloungwa mkono na UAE limeanzisha mashambulizi ya kushtukiza katika eneo la kusini mwa Taiz. Mapigano makali yameripotiwa huko al-Janad, kusini magharibi mwa Yemen, na kuzidisha hali ambayo tayari ni tete nchini humo.
View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1871320123811979398?t=dmKAXGGJiBxJ7Q17hpdY2A&s=09
Quran inasema masikin ni nusu kafiriNani kakuambia mimi ni masikini?
Bado hujajibu swali!Quran inasema masikin ni nusu kafiri
Huenda nawe ni kafiri
Saud kakukosea Nini hapo
Acha roho mbaya wewe kobaz
This is a well calculated move by the US, Israel, Saudi Arabia,and other peace loving minded nations!!!Ripoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen.