Masharti 20 ya kuwa mwanamme!

Yes,
huyo ndie mwanamume kamili
 
Nahisi ninazo zote 😂😂
 

21. Yatunze marinda yako usikubali kuchezewa!!


Siyo kama hawa wanawake toleo la pili [mention]Ritz [/mention] na [mention]CityHunter1 [/mention]
 
Sasa mtuhujaishi nae lakini unasema sifazote hizo anazo na unataka utoe dadako juu.

huyojamaa nimzizi ilitakiwa akuoe au nyie nisogea tuishi family?
Huhitaji kuishi na mtu ndipo umjue Mkuu, tuna zaidi ya miaka 7 mapenzini nahitaji nini zaidi kumjua?

Hatujasogezana, kila mtu yuko kwake tuna adabu na heshima sie.
 
miaka saba😕
nyie hampendani bali mnatumiana kupunguza nyege tuu.
ukipata mwenza unae mpenda humalizi nusu mwaka ndoa ishafungwa ilanyie mhhh

kwahio miakasaba hamja zini bado?au zinaa kwenu ruhsa?
Mkuu, mambo mengine huwezi kuamini ila fahamu kwamba kwetu hilo hakuna (zinaa)

Ila, maisha ni vile unavyoyapanga wewe yawe.

Yote hayo yatatimia kwa mipango yetu.
 
Mkuu, mambo mengine huwezi kuamini ila fahamu kwamba kwetu hilo hakuna (zinaa)

Ila, maisha ni vile unavyoyapanga wewe yawe.

Yote hayo yatatimia kwa mipango yetu.
Mkuu,ndio maana tuko wachache ,mie nakuelewa vzr sana na sina hofu usemacho na uwepo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…