Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Mkuu,ushamueleza km haamini, potezeaMkuu huelewi nini? HATUJAWAHI!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,ushamueleza km haamini, potezeaMkuu huelewi nini? HATUJAWAHI!
Tuko pamoja ,ila naomba ile title nayo ijua nibaki nayo mkuu,itakua utambulisho bora kwangu kwakoKweli sasa naamini una hizo sifa, mwingine hawezi kuelewa Mkuu.
Yes, na mimi yalishaisha yale.Wala usihofu Mkuu, Tuko pamoja ,mie nilikua msomaji tu cz kuna story nilitaka kujua mwisho wake ..now siko
Title ipi hiyo Mkuu?Tuko pamoja ,ila naomba ile title nayo ijua nibaki nayo mkuu,itakua utambulisho bora kwangu kwako
Maisha ya mwanadamu huwa yanaenda tu bila hizo imani.
Good, Mkuu tuko pamoja ,hope mambo yanaenda vile yamepangwa kuwaYes, na mimi yalishaisha yale.
Peace
Hapana,bila imani mwisho wake ni kuamua kumegwa.
Hakuna kitu unaogopa tena.
Sijajua niwekeje ,maana ushaniambia niwe km sijaambiwa,😂😂Title ipi hiyo Mkuu?
Kwakweli Mungu anasaidia, kila kitu kiko kwenye mstari.Good, Mkuu tuko pamoja ,hope mambo yanaenda vile yamepangwa kuwa
Tumia akili kuiweka, nitaelewa 🤣🤣Sijajua niwekeje ,maana ushaniambia niwe km sijaambiwa,😂😂
🙏🙏🙏,Mungu husaidia siku zote,safi sana km hkn kilichoharibikaKwakweli Mungu anasaidia, kila kitu kiko kwenye mstari.
Nipe zawadi yangu basiKuyajua masharti yote haya kwanza lazima uwe bora, na kuyaishi ni habari nyingine.
Hii ni elimu ambayo huwezi kuipata darasani, ni elimu inayotokana na waliokuzunguka tokea katika malezi na jinsi ulivyokuzwa.
Dear ladies, kama ana sifa 10 tu kati ya hizi he is a good man, hold onto him.
Ok, ni km ktk kumjulia hali bro Mkuu HA ,( hapa umenielewa?Tumia akili kuiweka, nitaelewa 🤣🤣
Ni kweli kbsKuyajua masharti yote haya kwanza lazima uwe bora, na kuyaishi ni habari nyingine.
Hii ni elimu ambayo huwezi kuipata darasani, ni elimu inayotokana na waliokuzunguka tokea katika malezi na jinsi ulivyokuzwa.
Dear ladies, kama ana sifa 10 tu kati ya hizi he is a good man, hold onto him.
Umefanyaje kwani?Nipe zawadi yangu basi
Ninahisi nina sifa nyingi kati ya hizo😀Umefanyaje kwani?
Nimekuelewa ila jibu sina Mkuu, sipo tena so sijui hali yake kwakweli.Ok, ni km ktk kumjulia hali bro Mkuu HA ,( hapa umenielewa?
Ndio maana uliposema vile nikaelewa,sorry kwa kuuliza hivi Mkuu,sorry sanaNimekuelewa ila jibu sina Mkuu, sipo tena so sijui hali yake kwakweli.