Masharti mapya niliyopewa na mama watoto baada ya kurudiana.

...wewe hujamuelewa mkeo mpaka leo?
ana maanisha unahitajika kutumia muda zaidi na yeye.. kitandani!
Mkuu mtu akiniambia nisiangalie mpira uwa simuelewi kabisa.
 
huyo dada/mama kiboko,
sasa akikunyima kufanya yote hayo raha ya maisha itakuwa wapi.
 
Kama ni kweli una mke wa aina hiyo huyo sio mke ni matatizo!
 
Ngoja niongezee naona umesahau...ukitoka kazini ni marufuku kupitia sehemu yeyote. ni marufuku kupiga au kupokea simu ukishafika nyumbani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…