Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 643
Mkuu mtu akiniambia nisiangalie mpira uwa simuelewi kabisa....wewe hujamuelewa mkeo mpaka leo?
ana maanisha unahitajika kutumia muda zaidi na yeye.. kitandani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mtu akiniambia nisiangalie mpira uwa simuelewi kabisa....wewe hujamuelewa mkeo mpaka leo?
ana maanisha unahitajika kutumia muda zaidi na yeye.. kitandani!
1. Hamna kuingia JF
2. Hamna kuangalia mpira.
3. Hamna kutoka na washikaji, kama ni bia zitanywewa home na mwisho ni bia mbili.
4. Hamna kutembelewa na marafiki.
5. Hamna kununua magazeti yanayoandika serious news
6. Ni lazima kuangalia tamthilia usiku
7. Ni marufuku ku tune CNN, BBC, na al jazeera.
Jamani sasa ndio nakubali kuwa mapenzi ni kizunguzungu, mtu ana take advantage kwakuwa amejua nampenda.
Sijui nifanyeje?