falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Wakuu habari:
Mara kwa Mara viongozi wetu wamekuwa wakituambia tumepata mkopo kutoka China wenye masharti nafuu.
Swali langu ambalo natamani kila Mtanzania ajiongeze na aweze kufikiria nje ya box je mkopo wa masharti nafuu ukoje je masharti nafuu ni yapi?
Mara nyingi tumesikia kauli kuwa hatutaki mikopo ya mataifa ya kibepari yenye masharti magumu. Je, ugumu wa masharti yao unakuja vipi?
Je, urahisi upi huo tunaoupata kutoka China?
Je, Marekani ikitaka kukupa mkopo huwa inazingatia vigezo gani kukupa mkopo?
Nawasilisha