falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Wakuu habari:
Mara kwa Mara viongozi wetu wamekuwa wakituambia tumepata mkopo kutoka China wenye masharti nafuu...
Tumeambiwa ana masharti nafuu kuliko Marekani, Je unayajua masharti nafuu ya Chinamchina sio poa, hafanyi biashara kwa hasara.
Masharti nafuu ni yapi?China ni marafiki zetu wa enzi na enzi na kwa sasa wanajitanua zaidi duniani na wanaoushawishi mkubwa kuliko USA. Hawanaga kazi mbovu
HapanaTumeambiwa ana masharti nafuu kuliko marekani je unayajua masharti nafuu ya china
Akiweza kukujibu basi nitag.Masharti nafuu ni yapi?
Ndoa za jinsia moja, ruksa ya utoaji mimba, riba kubwa na n.kMasharti nafuu ni yapi?
Kwa United States huzingatia nini hadi wakupe mkopo?Akiweza kukujibu basi nitag.
Wakuu habari:
Mara kwa Mara viongozi wetu wamekuwa wakituambia tumepata mkopo kutoka China wenye masharti nafuu.
Swali langu ambalo natamani kila mtanzania ajiongeze na aweze kufikiria nje ya box je mkopo wa masharti nafuu ukoje je masharti nafuu ni yapi?...
Kwahiyo Marekani haikupi mkopo ikiwa hujakidhi vigezo hivyo?Democrasia, Utawala bora, Uhuru wa habari, haki za binadamu, nk hayo ndo masharti magumu ya Marekani ambayo ccm hawayataki
Hakika hivyo ndivyo ilivyoKwahiyo marekani haikupi mkopo ikiwa hujakidhi vigezo hivyo?