kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Haitawzekana hao diaspora ni mamluki, sawa Leo mange aseme Samia atokee hiyo imekaa sawa?Wananchi wengi na Diaspora wa Iran hawataki vita iishe mpaka wakombolewe
Wa Iran ni magenius, unavyowaona wanafurahia kinachoendelea sio wajinga wa kushikwa masikio, tena hawana muda kabisa na ishu za kidini ndio maana misikiti zaidi ya elf 50 imefungwa Iran, wao wanachotaka ni uhuru wa taifa lao.
wanajua hakuna kitu kama free lunch, lazima Marekani na Israel watanufaika kwa namna moja a nyingine lakini kwao itakuwa win win situation .
Hakuna mamluki, Tena Diaspora wana afadhali, ndani ya nchi wiki chache tu zilizopita, internet ilizimwa serikali ikaua wairan zaidi ya elf 40 waliokuwa wakiandamana, serikali mwanzo ikasingizia wametoka nje, badae ikakiri ni wairan ila wakapunguza idadiHaitawzekana hao diaspora ni mamluki, sawa Leo mange aseme Samia atokee hiyo imekaa sawa?
Mtanyooka tu Acheni ujinga Ayatollah Majitaka mwenyewe yuko hai bin taabu I hayo Mashariki mmetunga ninyi Waarabu-koko!!!Hayo ndio masharti ya Iran mimi nimetumiwa message muamini msiamini ndio masharti hayo
Hahaha punguza uwongo afu ni kichaa tu ndio atamini picture hio kwa hio mlingia mpaa thumbnail mkampiga picture kaumia.Mtanyooka tu Acheni ujinga Ayatollah Majitaka mwenyewe yuko hai bin taabu I hayo Mashariki mmetunga ninyi Waarabu-koko!!!
Mwambie aonyeshe mkono mwingine tuuone Ana Tumia mkono mmoja kama kilema kaponea chupuchupu huyo!!Hahaha punguza uwongo afu ni kichaa tu ndio atamini picture hio kwa hio mlingia mpaa thumbnail mkampiga picture kaumia.
Chuma kimetoa speech kiko kawaida
View: https://youtube.com/shorts/dAdedQm5rXw?si=btbjMyT0cNbSKUuf
Wewe ile picture ulio tuwekea sio ya Mujtaba khomen mikono yake yote iko salama tazama vizuri afu uio ndio protocol ya Murshid ndivyo anavyo takiwa akae anapo ongea.Mwambie aonyeshe mkono mwingine tuuone Ana Tumia mkono mmoja kama kilema kaponea chupuchupu huyo!!
Duh! Sema waIrani jamaa wanaroho ngumu sana, wazungu hii hawawezi.1. Nguruwe Netanyahu lazima akabidhiwe kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai.
2. Chombo cha Israeli lazima kiondoke Gaza na kusini mwa Lebanon hadi mipaka ya Oktoba 7, 2023 na kufuta mpango wa amani wa Trump kwa Ghaz'aa.
3. Kuzingirwa na vikwazo dhidi ya Iran lazima viondolewe, na mali zake zilizozuiliwa ziachiliwe na kurudishwa Iran.
4. Dunia lazima itambue mpango wa nyuklia wa amani wa Iran.
5. Chombo cha Israeli lazima kiache kukiuka uhuru wa Lebanon kwa ardhi, bahari, na hewa, na kiondoke Syria.
6. Iran lazima ifidiwe kwa uharibifu uliopatikana kutokana na vikwazo, kuzingirwa, na uchokozi uliowekwa bila sababu na ukiukaji wa sheria za kimataifa.
7. Kuzingirwa dhidi ya Yemen lazima kiondolewe, fidia inayohitajika ilipwe, na chombo cha kiyahudi lazima kiondoke kutoka maeneo yanayokaliwa na Saudi Arabia na UAE.
8. Kambi za Marekani lazima ziondoke katika ardhi za Kiarabu mara moja.
9. Trump, utawala wa Marekani, na serikali ya Israeli lazima watoe msamaha rasmi na wa hadharani kwa kumlenga Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Ali Khamenei (Mungu aitakase roho yake), Sayyed Hassan Nasrallah, Sayyed Hashem Safieddine, na shahidi Ismail Haniyeh
Mungu awafurahishe, kwa sababu kwa kuwalenga walikiuka sheria na kanuni za kimataifa za ushiriki, na kuhatarisha amani ya dunia.
Je, hawa ni viongozi, na je, wanalenga viongozi wanalenga suluhu?
Kwa nguvu na msaada wa Mungu, Iran itafanikiwa kuweka masharti haya.
Mkuu kwani wairan nao ni wayahudi kumbeChezea Iranian wale ndio Wayahudi og.
Aya mazayuni ni Mapunga tu ya Ulaya yamekuja kuchafua Maeneo matakatifu kwa Waislam na Cristian.
Mwenye uwezo wa kuua viongozi duniani ni Wanawa Israel tu hakuna mwingine.Wewe ile picture ulio tuwekea sio ya Mujtaba khomen mikono yake yote iko salama tazama vizuri afu uio ndio protocol ya Murshid ndivyo anavyo takiwa akae anapo ongea.
Vipi ndugu yake Netanyahu Iddo yupo hai na yule kichaa Ben Gvir vyombo vya habari vya Israel vinadai kuwa Itamar Ben Gvir alikufa katika 'ajali ya gari' haha kumbe kauliwa na kombora la Iran.
Huyo kaandika tu mawazo yake hewa.Sidhani kama ni matamko ya serikali ya Iran huyo jamaa kajiandikia tu
Israel bila kumtumia yule Ismail Qaan asinge weza wauwa hao viongozi wa Hezboullah na wa Iran huyo alikuwa anaenda meeting mara ajidai anachelewa kidogo wamsubiri au anajidai kana anaenda jisaidia kumbe alikuwa anawauza wenzake sijui kwanini Iran walimuamini mimi toka nilipo ona sura yake niligundua ndiye aliye sababisha vifo vya makamanda wa Hezbullah na NasurlahMwenye uwezo wa kuua viongozi duniani ni Wanawa Israel tu hakuna mwingine.
Wafuga Midevu ns Majini wote hawawezi kuua kiongozi yeyote wa Israel!!
Wamejitahidi sana wakisaaidiwa na Waarabu-Koko kuwaua viongozi wa Israel kwa Maneno lakini wameshindwa!!
Wamediriki kumuua kwa Maneno Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu,Waziri wa Fedha wa Israel.Waziri wa mambo ya ndani wa Israel, Mkuu wa majeshi wa zamani wa Israel,Mkuu wa majeshi ya anga wa Israel na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Israel.
Walishawahi pia kuushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion wakauchakaza vibaya sana na wakaweka na picha za AI kuonyesha walishauharibu kwa maneno na kwa hisia cha kufurahisha uwanja huo hata leo unafanya kazi kama kawaida.
Hawa wote waliuwawa kwa maneno cha kushangaza wako hai hata sasa kila mmoja anaendelea na shughuli zake.
Kwa Wafuga Midevu na Majini hiyo inaitwa TAQIYYAH yaani kusema uongo kwa ajili ya mnyazimungu wao!!!
Endelea kutafuta visingizio visivyo na maana yoyote!!Israel bila kumtumia yule Ismail Qaan asinge weza wauwa hao viongozi wa Hezboullah na wa Iran huyo alikuwa anaenda meeting mara ajidai anachelewa kidogo wamsubiri au anajidai kana anaenda jisaidia kumbe alikuwa anawauza wenzake sijui kwanini Iran walimuamini mimi toka nilipo ona sura yake niligundua ndiye aliye sababisha vifo vya makamanda wa Hezbullah na Nasurlah
Sa huo uwezo hana tena yule mnafiki hayupo tena.
Sa subiri USA aondoke wa baki Israel na Iran tuone kama bibi yenu hata ataongea tena atakuwa jwenye shimo tu
We mbona mbishi hata USA kaona aibu imebidi aombe samahani bada ya kubanwa na kuona Iran anapiga mpaa mahotelini walipo jificha askari zakeEndelea kutafuta visingizio visivyo na maana yoyote!!
Mwambie aonyeshe mkono mwingine tuuone Ana Tumia mkono mmoja kama kilema kaponea chupuchupu huyo!!
Kwa hiyo akiomba Samahani ndipo ataacha kumwingilia kinyume na maumbile Iran?We mbona mbishi hata USA kaona aibu imebidi aombe samahani bada ya kubanwa na kuona Iran anapiga mpaa mahotelini walipo jificha askari zake
View: https://youtu.be/_k6ZznnUJw0?si=q8WQweqcOQ0Hpe3q
Wapi Iran kaomba ceasefire pole sana aliye changanyikiwa ni USA wala si Iran.Kwa hiyo akiomba Samahani ndipo ataacha kumwingilia kinyume na maumbile Iran?
Endeleeni tu kutengeneza video fake kuficha udhaifu wa majeshi ya Iran kwenye uwanja wa vita ambako ameelemewa mpaka Naomba Ceasefire ili kunusuru Askari na viongozi wake!!!!!!