Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Muungano wa kihuni kabisa, dawa ni serikali moja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliwaambia zamani Sasa hata bado endeleeni Tu kulinda Uvamizi uitwao muunganoTuache kuwadekeza sasa hawa....wanatupanda vichwani....CCM kama hili linawafavor kwenye siasa zenu sasa hili dubwana ndio litakuwa kaburi lenu..... tutaanzisha anti - Zenji operation huku bara sasa nao wapate pinch....
In reality hawa watu kwanza ni wabaguzi kwenye biashara, they are selfish kweny biashara kuanzia hapa na huko kwao....mbara ni ngumu hawa kufanya nao biashara kwao Zenji, wakija hapa wanatiatia huruma tunawabeba...
Mud ni mwalimu mzuri sana. Hata ww unasema hivi?Muungano wakingese kama huu ndo unatufanya ata mama anatutia vidole vya macho na hatuna cha kumfanya
CCM inajuwa fika kama muungano ukivunjika na CCM pia inavunjika[emoji848]Tuache kuwadekeza sasa hawa....wanatupanda vichwani....CCM kama hili linawafavor kwenye siasa zenu sasa hili dubwana ndio litakuwa kaburi lenu..... tutaanzisha anti - Zenji operation huku bara sasa nao wapate pinch....
In reality hawa watu kwanza ni wabaguzi kwenye biashara, they are selfish kweny biashara kuanzia hapa na huko kwao....mbara ni ngumu hawa kufanya nao biashara kwao Zenji, wakija hapa wanatiatia huruma tunawabeba...
Hili la Rais Mwinyi ni la kuanza kupigiwa kelele na kila Mtanzania mbara anayejielewa, kifupi tuanze harakati mpya za kuuvunja muungano na kila mtu abaki kwao....Mzanzibar awe na passport yake na mbara awe na paasport, Zanzibar kuingia na kutoka ni Viza kama kawaida....Biashara kufanya waruhusiwe kwa utaratibu kama wa wageni wengine ikiwa pamoja na kuwawekea masharti magumu ya wao kuja kufungua biashara huku....
We favoured them, but they are fucked us hardly.....we should wake up and start to screw them....
Anazungumzia nchi gani? Tanzania bara ndio ipo wapi hiyo?"Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi.
View attachment 2028001
Kwa staili ya kumwaga jeshi Na kukodi jeshi la Burundi?tukutane 2025
Vipi hili jeshi lenu mlilolileta lililojaa kila kipembe Na usalama mliowamwaga kila street mtawaondosha lini ??
Kuvunja muungano kutaguarimu uhai wa raia.Kwani kuvunja muungano kunagharimu kiasi gani??
Hicho kilikuwa kifanyike Zamani sana lakini kwa bahati mbaya Walichelewa. Pahali Popote duniani Nchi zinapoungana na visiwa lazima visiwa vipewe Special Status kwa vile visiwa ardhi yake ni ndogo. Lazima ilindwe Ardhi na ulindwe utamaduni wa visiwa. Kwa akili ndogo watafikiria ni upendeleo , lakini wenye akili timamu watajua kua huo ni Uhalisia. Kama kila mtu anayetaka kununua Ardhi ajenge Zanzibar ataruhusiwa, baadae Zanziba igeuka Jangwa jee madhara yatakayopatikana yataikumbwa Zanzibar Peke yake au na Tanganyika pia? Hapo ndipo Wanzanziabri wanapolalamikia Muungano huu kua nia ilikuwa ni kuimeza Zanzibar na kuifuta kwenye ramani ya Dunia. Hebu tujiulizeni kuna mzanzibari alipendekeza kua tanganyika ife? Au hata nyinyi watanganyika wakati Tanganyika inakufa muliuzwa mukatoa maoni yenu au ilkuwa na maoni ya mtu mmoja?"Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi.
View attachment 2028001
Chukua chako mapema..dunii ina wenyew na haina huruma..mtu akikaa vibaya piga"Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi.
View attachment 2028001
Kama huo uovu haukutosha; akapachika na hili la mgombea urais kuambatanishwa na makamu. Angetuacha na utaratibu uliokuwepo wa kufanya uchaguzi ndani ya siku 90 endapo nafasi ya rais inakuwa wazi.Kati mambo ya hovyo ambayo Mwl Nyerere alituachia ni huu muungano chawa.
Kuna gharima maisha, kwa sasa Una wasikia tena uhamsho? si walikuwa Wana taka Zanzibar Yao hawataki muunganoKwani kuvunja muungano kunagharimu kiasi gani??
Hoja yako haina mashiko, unaenda visiwa vyovyote duniani na unanunua property na uraia wengine wanatoa ukiwekeza. Hoja yako ya Zanzibar kwani mtu kuuza ardhi analazimishwa? nchi ina sheria zake wapi unajenga wapi huruhusiwi akija mtu anataka kununua una hiyari ya kusema hapana siuzi. Huo utamaduni upi unaongelea? wao wamejazana huku kila sehemu na huo utamaduni wetu wanauchukuwa wenyewe kutoka huku.Hicho kilikuwa kifanyike Zamani sana lakini kwa bahati mbaya Walichelewa. Pahali Popote duniani Nchi zinapoungana na visiwa lazima visiwa vipewe Special Status kwa vile visiwa ardhi yake ni ndogo. Lazima ilindwe Ardhi na ulindwe utamaduni wa visiwa. Kwa akili ndogo watafikiria ni upendeleo , lakini wenye akili timamu watajua kua huo ni Uhalisia. Kama kila mtu anayetaka kununua Ardhi ajenge Zanzibar ataruhusiwa, baadae Zanziba igeuka Jangwa jee madhara yatakayopatikana yataikumbwa Zanzibar Peke yake au na Tanganyika pia? Hapo ndipo Wanzanziabri wanapolalamikia Muungano huu kua nia ilikuwa ni kuimeza Zanzibar na kuifuta kwenye ramani ya Dunia. Hebu tujiulizeni kuna mzanzibari alipendekeza kua tanganyika ife? Au hata nyinyi watanganyika wakati Tanganyika inakufa muliuzwa mukatoa maoni yenu au ilkuwa na maoni ya mtu mmoja?
Inawezekana ukawa sahihi.Mtaniwia radhi ikiwa nitasema kuwa hakuna nchi yenye watu wapumbavu kama Tanzania?
Baada ya kile kisago uhamsho hamu hawana tenaKuna gharima maisha, kwa sasa Una wasikia tena uhamsho? si walikuwa Wana taka Zanzibar Yao hawataki muungano