bothlegs
Senior Member
- Apr 14, 2009
- 122
- 48
Na mkizubaa atawatia vidole mpaka katika jicho la kati jichoMuungano wakingese kama huu ndo unatufanya ata mama anatutia vidole vya macho na hatuna cha kumfanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mkizubaa atawatia vidole mpaka katika jicho la kati jichoMuungano wakingese kama huu ndo unatufanya ata mama anatutia vidole vya macho na hatuna cha kumfanya
Unaruhusiwa mkuu na tunakuwia radhi kwa hili na hata kama una jingine la kuongezea.Mtaniwia radhi ikiwa nitasema kuwa hakuna nchi yenye watu wapumbavu kama Tanzania?
Tuuboreshe ikishindikana ndio tuuvunje.Tuvunje muungano hamna namna
Kwa mawazo yake Nyerere alidhani viongozi watakaokuja baada yake watakuwa waungwana kumbe wamekuja majambazi tu.Kati mambo ya hovyo ambayo Mwl Nyerere alituachia ni huu muungano chawa.
SAFI SANA RAIS WANGU NAFIKIR WAMEKUELEWA"Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi.
View attachment 2028001
Kwisha habari yenu Ardhi ya ZANZIBAR NI ndogo Sana isipolindwa Kesho na keshokutwa tutakua na uhaba mkubwa WA Ardhi Kwa vizazi vyetu Watanganyika ttzo lenu si Ardhi mnamamia Kwa maelfu ya maekar tatizo lengu ni umaskin WA akili ndio maana mnahama huko kuja kututilia nzi hukukati ya jambo nitakalounga mkono hata kwa kuandamana ni kwa serikali kuuvunja muungano na kila mtu abaki kwao na nchi yake...
Kuna haja ya kuuvunja huu muungano wale jamaa waendelee na maisha yao na sisi tuendelee na maisha yetu....
Serikali na Watanzania tuache kucheka na wahindi, waarabu na hawa wazanzibar ni moja ya watu tunaowadekeza sana na kuishia kuinyonya hii nchi kwa kivuli cha uzawa ilhali undercover sio wazawa bali they are here to benefit....
Wabara tunawashobokea sana hawa watuChao ni chao na chetu ni chao
Ianzishwe movement ya ZanzexitMuungano wa ajabu sana...
Ifike mahali hawa jamaa tuachane nao sasa maana sababu zilizofanya tuungane hazipo tena."Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi.
View attachment 2028001
Mh icho unacho kisema mbona sicho kinachofanyika huku mitaaan, ..pale Kkoo Kuna wa pemba kibao wana mi ghorofa pale , ata mashambaARDHI SI JAMBO LA MUUNGANO
Wazanzibar nao hawaruhusiwi kumiliki ardhi bara ila wanaweza omba kibali cha ukaazi ama uwekezaji ili wajenge
Sasa kama kamiliki ardhi ujue ni kinyume na masharti ya Mambo yasiyo ya Muungano
..Screw zanzibaris to the core,enough is enough!Hili la Rais Mwinyi ni la kuanza kupigiwa kelele na kila Mtanzania mbara anayejielewa, kifupi tuanze harakati mpya za kuuvunja muungano na kila mtu abaki kwao....Mzanzibar awe na passport yake na mbara awe na paasport, Zanzibar kuingia na kutoka ni Viza kama kawaida....Biashara kufanya waruhusiwe kwa utaratibu kama wa wageni wengine ikiwa pamoja na kuwawekea masharti magumu ya wao kuja kufungua biashara huku....
We favoured them, but they are fucked us hardly.....we should wake up and start to screw them....
Duuu
Hivi kwanini zanzibar isiwe mkoa tuuu wa tanganyika ili tuondoe huuu ujinga?Chao ni chao na chetu ni chao
Nakuunga mkono kwani Rais anayetawala bara ni wa wapi ? Mbona watu wa bara wanabaguliwa Zenji ila huku bara hadi wanapata Urais. This is not fairMtaniwia radhi ikiwa nitasema kuwa hakuna nchi yenye watu wapumbavu kama Tanzania?