Watanzania kwa idadi tunakadiriwa kufikia milioni 65 na ndani yake kuna idadi ya Wazanzibar 1.5 milion. Eneo la Zanzibar, utamaduni na ukale wa Zanzibar,ni sahihi kabisa sababu Tanzania bara tuna maeneo ambayo hayakaliwi mahekta na mahekta na ni mapori matupu nadhani ukiwa unasafiri na unaona how Tanzania bara ni kubwa, pili kwa mkwanja walionao wabara wanaeza nunua ardhi ya Zenji yote na watu wenye historia ya Zanzibar wasiwepo tena,Wazanzibar karibuni bara maeneo ya kumwaga mje mlime na mfuge ni Tanzania yenu.