Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

Hebu nitajie Kisiwa kimoja ambach unaruhusiwa kunuaua ardhi bila masharti yoyote? Nataka hoja yenye mashiko kutoka kwako, unaniele ni kisiwa gani na unatuwekea na sheria ya ya Ardhi ya nchi hio tujadili. Hujui usiseme.
Mimi najua vipo visiwa vingi unavyoruhusiwa kununua Property kwa mgeni na unapewa hio statu maalum . Na wingi wanaonunua hushindwa kulipa Kodi ya mwaka, kitu kinachopelekea kuuzwa kwa Property zao. Kwa kiswahili chepesi hivyo visiwa vyote unavyoruhusiwa kununua Property lengo ni kuwavutia matajiri ili wate Pesa zao hapo walipie Kodi ili kuwanufaisha wananchi wa Kawaidi. Nasi changu doa wa Manzese ananua Ardhi wala hana kodi anyolipia na hata akijenga hio nyumba miaka ishiri hana uwezo wa kuimaliza
 
Nadhani unauliza halafu unajijibu, wanaruhusa unasema ili walipe tax hapo hapo unasema nitajie kisiwa kinachoruhusu wewe umeshasema wanaruhusu kuvutia wawekezaji. Kwani sisi huku bara hatuna visiwa? kuna mtu anakatazwa kununua ardhi huko.
 
Hao watu sio ardhi tu....atamabinti zao, sie vidume wa bara haturuhusiwi kuwadunga mimba ... ila wao wana tudungia Dada zetu mimba Kila kukichaaa ..........

Unaweza kwenda kule Znz ukamtongoza binti wa Ki Znz akijua tu ww umetokea Baraaa Basi ni mawili utarajie ...mosi akikukubalia ujue mbususu hutopewa akizidiwa sanaaaaaaa anakupa 0713

Mbili....ujiandae kukataliwa at Kama binti anakupenda kweli ......
 
Pumbafu kabisa hiki ki muungano Uchwara Cha mbwa mwitu na kondoo kifutiliwe mbali kabisa,
Chetu Chao, Chao Chao sisi hakituhusu!
Hivi watanganyika tunafeli wapiii?

ARDHI SI JAMBO LA MUUNGANO
Wazanzibar nao hawaruhusiwi kumiliki ardhi bara ila wanaweza omba kibali cha ukaazi ama uwekezaji ili wajenge
Sasa kama kamiliki ardhi ujue ni kinyume na masharti ya Mambo yasiyo ya Muungano
 
Yaani Mwinyi anamuweka Mtanzania wa Bara sawa na Mgeni yeyote yule .....!!

Hii combination ya Mwinyi na Maza ..... itatuingiza chaka Wabara....!!
 
Mpemba ulianza kutiririka vizuri lakini umeshindwa kuficha mahaba mwishoni.

Karibu urojo
 
Mzanzibar anaweza kuwa makamu wa rais au rais anaweza kuwa waziri pia lkn mtanganyika hawezi kuwa rais wa Zanzibar au waziri.....kwaiyo acheni kelele za ardhi.
 
Hata ukivunjika muungano Wapemba wako mpaka Handeni, na Mtae wamejenga majumbani na wanamiliki ardhi kubwa tu .
 
Hata ukivunjika muungano Wapemba wako mpaka Handeni, na Mtae wamejenga majumbani na wanamiliki ardhi kubwa tu .

Haijalishi, hizo zitakuwa consequence za kuvunjika muungano kwao....lazima warudi kwao waanze taratibu za kumiliki ardhi Tanzania bara na uwekezaji mwingine, hiyo ardhi haitakuwa mali yao tena.....lazima wajifunze kupitia ujinga wao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…