Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata kama ulikuwa ni wa kupona, ndio basi tena, hata ukipona, bili yake mtaichanga ukoo mzima na mtadaiwa bado".
Shule zetu sasa, mtoto anaingia shule hajui kusoma na kuandika, anasoma miaka saba anarudi hajui kusoma na kuandika, hii ndio CCM.
Kwa aina ya mkopo huu; walau watanzania twaweza anza kuuona mwezi na mambo yakaenda sawa!