Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

Tetesi za uongo hizi hakuna kitu kama hiki, [Mikopo ya kinchi, ni biashara za nchi zenye mafedha ya ziada, katika kuzungusha fedha zao zizae japo kiduchu]
 
Kuna mazwazwa kwa uzwazwa wao na kwa msaada wa tetesi za aina wataona sasa ndio wakati umefika.
 
Ikiwa kweli litakuwa jambo jema ! Siasa sio uadui ! Sote tu watanzania !!
 
Hapo hawatoweza nunulia bus, maroli au dhamini timu zao za mpira kwa kodi zetu
 
Hatujafika popote, mengi yatakuja na chahwa wa ccm watabaki wazi
 
Huyo makamu rais atazui nn kisifanywe na rais hata Zanzibar tu Yuko makamu kutoka upiznani ila Hana sauti wa mamlaka za kufuta mtu kazi au kumuajibisha uzembe Yuko Yuko tu kutetea tumbo lake na wanawe wapate elimu nnje
 
Makamo akitoka upinzani chapu beberu anaua raisi ili makamu awe raisi na kuvuruga mifumo ya nchi.
Najua hizi ni porojo tu. Lakini hata Kama itakuwa kweli wakati wa kurekebisha KATIBA iendane na hayo matakwa ya beberu, watarekebisha na kipengele cha mrithi wa Rais ili mpinzani asinuse kitu.
Kama ilivyo KATIBA ya Zanzibar ilivyo Makamo wa Kwanza wa Rais ni kama ceremonial figure tu hata kukaimu hapati.
KATIBA inawataja Makamo wa Pili wa Rais ( ni kama Waziri Mkuu), Spika na Jaji Mjuu ( in that hierarchy).
 
Huyo makamu rais atazui nn kisifanywe na rais hata Zanzibar tu Yuko makamu kutoka upiznani ila Hana sauti wa mamlaka za kufuta mtu kazi au kumuajibisha uzembe Yuko Yuko tu kutetea tumbo lake na wanawe wapate elimu nnje
Ila kuna upinzani na hata hivyo huyo rais hawezi kuwa na confidence kama akiwa yeye bila mpinzani!
 
Ngumu kumeza.
Kwa deni la taifa lilipofikia, serikali ijiandae kuchezeshwa kwata na mabeberu. Sasa hivi tunafurahia mikopo ila itafika wakati serikali itachezeshwa kwata hadi tuwachukie mabeberu.
Ina maana sasa hivi hauwachukii mabeberu?
Kukubali kuchezeshwa kwata utakuwa ni ujinga wa Mkuu wa Nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…