Masharti yapi ulikutana nayo kwenye Nyumba ya kupanga ukaghairi kulipa kodi?

Masharti yapi ulikutana nayo kwenye Nyumba ya kupanga ukaghairi kulipa kodi?

 
Mkuu mbona ghafla sana hahah
 
Hahhha wewe unakuwa msikilizaji mpaka unashindwa kujua uchangie kipi
Pitia huu Uzi una page 71 yaan utastaajabu matukio na vimbwanga vya nyumba za KUPANGA...

Kuna mpaka watu walio okota nyumba seriously 😒

 
Eti baba mwenye nyumba ni lazima nimpe namba yangu.

Nikahama kesho yake
Hapa nadhani unatania na kuchangamsha genge mkuu.

Mpangaji ni lazima anipe/nimpe# yangu.

Kuna kukwama, dharula nk nk,
usiponipa #yako inakuwaje hapo!

Na kama alikuwa anakutaka kwa nini asikupandilie kimaongezi akakutongoza moja kwa moja, alihofia nini?
 
Mi niliingia kabisa...ila kuona mwenye nyumba kilasiku kuja kupiga story kwangu...nikaona eenhee
Nishazoea upweke...hata nikiwa na wanangu wanajua sipendi kelele....kulala na mtu kitanda kimoja huku tumekumbatia kwangu mtihani...
Afu nifanye kazi ya kumsikiliza mtu umbea wake from A to Z....aweee 🥴🙌

Jamani,mi sitaki kelele hata wanafunzi wangu wanajua hilo...kelele sitaki.😔
ukija mjini nakupangishia bila kodi binti yangu
 
Wakuu salama?

Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na watu wanalalamika masharti ni mengi sana kwenye nyumba waliyotaka kuhamia na hivyo ikawapalekea kutokulipa kodi kutokana na mashrti kuwa mengi.

Masharti gani wewe ulikutana nayo ukaghairi kupanga nyumba hiyo?
Kuna nyumba Mlalakuwa mwenye Nyumba akasema Chumba nimekukodisha wewe sitaki masela au demu...chumba n kwa ajili ya ww mtu mmoja
 
Alikuwa analazimisha nisifunge dirisha ili apige chabo
 
Umeoa.........?

Mimi: Kisha akashika njia na kwenda zake..
 
Hata kwangu sitaki zinaa uitie unajisi nyumba yangu, unajua nilimuomba Mungu namna gani akanipa? Mpangaji uwe umeoa au umeolewa, kijana usiwe mtu wakubadilisha wanawake au wanaume
 
Back
Top Bottom