Masharti yapi ulikutana nayo kwenye Nyumba ya kupanga ukaghairi kulipa kodi?

 
Mkuu mbona ghafla sana hahah
 
Hahhha wewe unakuwa msikilizaji mpaka unashindwa kujua uchangie kipi
Pitia huu Uzi una page 71 yaan utastaajabu matukio na vimbwanga vya nyumba za KUPANGA...

Kuna mpaka watu walio okota nyumba seriously 😒

 
Eti baba mwenye nyumba ni lazima nimpe namba yangu.

Nikahama kesho yake
Hapa nadhani unatania na kuchangamsha genge mkuu.

Mpangaji ni lazima anipe/nimpe# yangu.

Kuna kukwama, dharula nk nk,
usiponipa #yako inakuwaje hapo!

Na kama alikuwa anakutaka kwa nini asikupandilie kimaongezi akakutongoza moja kwa moja, alihofia nini?
 
ukija mjini nakupangishia bila kodi binti yangu
 
Kuna nyumba Mlalakuwa mwenye Nyumba akasema Chumba nimekukodisha wewe sitaki masela au demu...chumba n kwa ajili ya ww mtu mmoja
 
Alikuwa analazimisha nisifunge dirisha ili apige chabo
 
Umeoa.........?

Mimi: Kisha akashika njia na kwenda zake..
 
Hata kwangu sitaki zinaa uitie unajisi nyumba yangu, unajua nilimuomba Mungu namna gani akanipa? Mpangaji uwe umeoa au umeolewa, kijana usiwe mtu wakubadilisha wanawake au wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…