Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
umenichekesha sana siwezi kukuacha stendi kwa kweliπ€£π€£π€£Wewe unaweza niacha stand ya magufuli pekeyangu....unaaminika kweli?π€£π
mawasiliano yapo tutawasiliana bega kwa mbega wala haina shidaNa nitakuja kweli,ila kukupata sasa babaβΉοΈ
Haya bhanaumenichekesha sana siwezi kukuacha stendi kwa kweli
Haya sawa,nitakushtuamawasiliano yapo tutawasiliana bega kwa mbega wala haina shida
Hata mimi kuongeleshwa na mtu ama kujenga mazoea sipendi.Mi niliingia kabisa...ila kuona mwenye nyumba kilasiku kuja kupiga story kwangu...nikaona eenhee
Nishazoea upweke...hata nikiwa na wanangu wanajua sipendi kelele....kulala na mtu kitanda kimoja huku tumekumbatia kwangu mtihani...
Afu nifanye kazi ya kumsikiliza mtu umbea wake from A to Z....aweee π₯΄π
Jamani,mi sitaki kelele hata wanafunzi wangu wanajua hilo...kelele sitaki.π
Safi, kumbe wewe siyo rafiki tu bali don't disturb me mateπHata mimi kuongeleshwa na mtu ama kujenga mazoea sipendi.
NdioUlitaka uwe zako free tu au sio?
Nipo good burooo bosssMambo vp mdogo angu π upo powaaa
πUnakaa kama upo lodge, ni kulala tuMm Mama Mwenye nyumba alikuwa hataki Upike kwenye nyumba yake
Unaendeleaje deskmate?Duhhh.....
Poleni sanaπ
Powaa nduguNipo good burooo bosss
Naona kama vile huu mwaka nitatoboa...πUnaendeleaje deskmate?
ππ π Hii kali2012 my first ghetto ever! Nilisafiri mara napigiwa simu "kumbe upo naskia mziki" nikamwambia jamaa angu mbona sipo naomba ukagonge uniambie nani, kumbe mwnye nyumba kapoa geto anakula saundi kawasha na feni! Kumpigia kwa jazba kwann unaingia chumban kwang bila ruhusa mana alitumia funguo za ziada vyumba vyote anazo linajibu "nimejipumzisha tu miyee kwan kuntabuuu" ni jitu la pwani nilivorud nika pack vyangu!
Vip shem anasemajPowaa ndugu
Yupo powa alijifungua mtoto wa kike last four months kafanana Sana na Mimi kila kitu. π(wife anamwitaga pacha ake baba)Vip shem anasemaj
KUmbe hongeraYupo powa alijifungua mtoto wa kike last four months kafanana Sana na Mimi kila kitu. π(wife anamwitaga pacha ake baba)