Mashauzi ya kina dada

Mashauzi ya kina dada

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
BAADA YA AMINA KUHISI TUMBO LINAMUUMA

Amina:doctor tumbo linaniuma sana tangu jana

Doctor:jana ulikula nini kabla ya tumbo kuanza kuuma?

Amina:nilikula pizza,baga,chips kuku na soseji doctor.

Doctor:sema ukweli dada,hapa ni hospitali sio instagram,facebook wala watsap.!!

Amina:nilikula ugali maharage na maparachichi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hili jukwaa gani? Naomba nihamie huku maana huko kwingine napata stress tu...
 
Hivi hili jukwaa gani? Naomba nihamie huku maana huko kwingine napata stress tu...
Hata me asee uku mwanzo mwisho kuongeza siku za kuishi, naomba hifadhi ktk ili jukwaa
 
Back
Top Bottom