Sina mbavu! hahahahaha..πππ...utumwa mbaya sana aise, haijalishi umetawaliwa na nani, nasikia hata wa-AfricanCaribeans wengi wanajiona nusu wazungu nusu waafrika! Basi balaa, kama wapemba/waunguja machotara! Sisi wabantu original wanatuona kama nyani kabisa..hahaha daah ila mkuu umenifurahisha sana. hili ni swali nililojiulizaga siku nyingi sana. Ukweli ni Kwamba waislamu wengi hasa wenye dini sana huwa wanatamani kuwa waarabu. yaani anatamani sana huwa wanajuta hata kuwa weusi maskini
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahhahahaa. Eti kilatino. Wauminino toenino sadakino sandukino. Li parokooo hiloooo.
Assimilation policy ndo iliwaharibu kule Afrika Magharibi, walijiona kama wafaransa kabisaSina mbavu! hahahahaha..πππ...utumwa mbaya sana aise, haijalishi umetawaliwa na nani, nasikia hata wa-AfricanCaribeans wengi wanajiona nusu wazungu nusu waafrika! Basi balaa, kama wapemba/waunguja machotara! Sisi wabantu original wanatuona kama nyani kabisa..
Hata maaskofu na mapadri nao wana swaga zao! Wansongea kama wamisionari! Hata walokole wana swaga zao! Hapo tupige neutral tu!Hili swala la mashehe kuongea kiswahili kama vile hawakijuwi vizuri na chenye lafudhi ya kiarabu ni manjonjo au ndio ukweli mashehe wetu kiarabu kinapanda sana mpaka yawa taabu na shidaaa kuongea kiswahili kama sisi cha kibantu hasa hasa?! Twauliza tu..Itabidi na maaskofu nao wawe basi na lafudhi ya kiingereza wanapohubiri makanisani! Waende sambamba na mashehe!ππ
u.c.h.o.c.h.e.z.i [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ni uamuzi;
Kwani ni mara ngapi tulishuhudia wanaccm wanapoongea wanaiga sauti mfano ya NAPE (Enzi zile akiwa kundini)
Kwani ni mara ngapi tunaona wanachadema wakiongea wanaiga sauti ya Mbowe
Kiswahili kimekupita kushoto wewe ulivyoandika "wajuvi" ukidhani ndio "wajuzi" kumbe Wajuvi kwa kiswahili ni watu wasiokua na heshima.Yani mmefundishwa Kiswahili kutoka huko kwenu bara, tayari mnajiona wajuvi!!!
Umenifurahisha,eti wanaiga sauti ya kamanda wa anga!teh tehNi uamuzi;
Kwani ni mara ngapi tulishuhudia wanaccm wanapoongea wanaiga sauti mfano ya NAPE (Enzi zile akiwa kundini)
Kwani ni mara ngapi tunaona wanachadema wakiongea wanaiga sauti ya Mbowe
pole,ila zaidi ya 70% ya maneno ya kiswahili yana asili ya kiarabu,kwenye post yako neno fahamu,elimu,swahili ni ya kiarabuAcha ujinga, utumwa na upoyoyo wa kufikili na kujitoa ufahamu.
Wewe, Mtafute Mwl wa Kiswahili atakuelimisha mchanganuo mzuri juu ya Kiswahili.
pole,ila zaidi ya 70% ya maneno ya kiswahili yana asili ya kiarabu,kwenye post yako neno fahamu,elimu,swahili ni ya kiarabu
hata ni neno la kiarabuBasi mkuu,
Hata hivyo warabu pori siwataki.
Nitaacha kutumia hata hiki Kiswahili chao nitatumia lugha Mama za hapa Tanzania
Hili swala la mashehe kuongea kiswahili kama vile hawakijuwi vizuri na chenye lafudhi ya kiarabu ni manjonjo au ndio ukweli mashehe wetu kiarabu kinapanda sana mpaka yawa taabu na shidaaa kuongea kiswahili kama sisi cha kibantu hasa hasa?! Twauliza tu..Itabidi na maaskofu nao wawe basi na lafudhi ya kiingereza wanapohubiri makanisani! Waende sambamba na mashehe!ππ
Ndo mlivodanganywa skul uko..Kwa asilimia ni 20% tu ndio yanatoka kwenye kiarabu 80% yanatoka kwenye lugha za kibantu na lugha nyingine.
Inasikitisha Sana Kwa kweli.Sina mbavu! hahahahaha..πππ...utumwa mbaya sana aise, haijalishi umetawaliwa na nani, nasikia hata wa-AfricanCaribeans wengi wanajiona nusu wazungu nusu waafrika! Basi balaa, kama wapemba/waunguja machotara! Sisi wabantu original wanatuona kama nyani kabisa..
Ni swaga tu na staili za kutofautisha mazungumzo ya kawaida na mahubiri ya kidini.
Hata katoliki na wengineo baadhi huongea kiswahili kwa mbwembwe za kilatino