Mashehe kuongea kiswahili kama kiarabu..!

hahaha daah ila mkuu umenifurahisha sana. hili ni swali nililojiulizaga siku nyingi sana. Ukweli ni Kwamba waislamu wengi hasa wenye dini sana huwa wanatamani kuwa waarabu. yaani anatamani sana huwa wanajuta hata kuwa weusi maskini
Sina mbavu! hahahahaha..🙂🙂🙂...utumwa mbaya sana aise, haijalishi umetawaliwa na nani, nasikia hata wa-AfricanCaribeans wengi wanajiona nusu wazungu nusu waafrika! Basi balaa, kama wapemba/waunguja machotara! Sisi wabantu original wanatuona kama nyani kabisa..
 
Mleta uzi unanikumbusha mjadala wa kidato cha tatu enzi hizo, kiswahili ni kiarabu au kibantu?
 
Sina mbavu! hahahahaha..🙂🙂🙂...utumwa mbaya sana aise, haijalishi umetawaliwa na nani, nasikia hata wa-AfricanCaribeans wengi wanajiona nusu wazungu nusu waafrika! Basi balaa, kama wapemba/waunguja machotara! Sisi wabantu original wanatuona kama nyani kabisa..
Assimilation policy ndo iliwaharibu kule Afrika Magharibi, walijiona kama wafaransa kabisa
 
Hili swala la mashehe kuongea kiswahili kama vile hawakijuwi vizuri na chenye lafudhi ya kiarabu ni manjonjo au ndio ukweli mashehe wetu kiarabu kinapanda sana mpaka yawa taabu na shidaaa kuongea kiswahili kama sisi cha kibantu hasa hasa?! Twauliza tu..Itabidi na maaskofu nao wawe basi na lafudhi ya kiingereza wanapohubiri makanisani! Waende sambamba na mashehe!🙂😉
Hata maaskofu na mapadri nao wana swaga zao! Wansongea kama wamisionari! Hata walokole wana swaga zao! Hapo tupige neutral tu!
 
Ni uamuzi;
Kwani ni mara ngapi tulishuhudia wanaccm wanapoongea wanaiga sauti mfano ya NAPE (Enzi zile akiwa kundini)
Kwani ni mara ngapi tunaona wanachadema wakiongea wanaiga sauti ya Mbowe
u.c.h.o.c.h.e.z.i [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Yani mmefundishwa Kiswahili kutoka huko kwenu bara, tayari mnajiona wajuvi!!!
Kiswahili kimekupita kushoto wewe ulivyoandika "wajuvi" ukidhani ndio "wajuzi" kumbe Wajuvi kwa kiswahili ni watu wasiokua na heshima.
 
Labda ni njia mojawapo ya kuzipata zile bikira baada ya kifo.
 
Ni uamuzi;
Kwani ni mara ngapi tulishuhudia wanaccm wanapoongea wanaiga sauti mfano ya NAPE (Enzi zile akiwa kundini)
Kwani ni mara ngapi tunaona wanachadema wakiongea wanaiga sauti ya Mbowe
Umenifurahisha,eti wanaiga sauti ya kamanda wa anga!teh teh
 
Acha ujinga, utumwa na upoyoyo wa kufikili na kujitoa ufahamu.

Wewe, Mtafute Mwl wa Kiswahili atakuelimisha mchanganuo mzuri juu ya Kiswahili.
pole,ila zaidi ya 70% ya maneno ya kiswahili yana asili ya kiarabu,kwenye post yako neno fahamu,elimu,swahili ni ya kiarabu
 
Basi mkuu,
Hata hivyo warabu pori siwataki.

Nitaacha kutumia hata hiki Kiswahili chao nitatumia lugha Mama za hapa Tanzania
 
Mkuu km hujui ni ivi kiswahil kimekopi 80% kutoka ktk lugha ya kiarabu ila tu maskul huko ktk somo la kiswahil historia ya lugha mnadanganywa tu..eti kiswahil ni kibantu hmna lolote leo ndo uamin mkuu km kiswahil kimetokana na kiarabu..so tuache masshekhe tujimwage.
 
Hili swala la mashehe kuongea kiswahili kama vile hawakijuwi vizuri na chenye lafudhi ya kiarabu ni manjonjo au ndio ukweli mashehe wetu kiarabu kinapanda sana mpaka yawa taabu na shidaaa kuongea kiswahili kama sisi cha kibantu hasa hasa?! Twauliza tu..Itabidi na maaskofu nao wawe basi na lafudhi ya kiingereza wanapohubiri makanisani! Waende sambamba na mashehe!🙂😉

Ndugu sima vizuri historia za dini maaskofu kwa nini waongee lafudhi ya kiingereza?
 
Sina mbavu! hahahahaha..🙂🙂🙂...utumwa mbaya sana aise, haijalishi umetawaliwa na nani, nasikia hata wa-AfricanCaribeans wengi wanajiona nusu wazungu nusu waafrika! Basi balaa, kama wapemba/waunguja machotara! Sisi wabantu original wanatuona kama nyani kabisa..
Inasikitisha Sana Kwa kweli.
utumwa wa fikra ni mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom