Hditrh inayokubalika ni ile inayoambatana na aya ya Qutr'an siyo ya kubuni tu.
Huwa sikisii.
Uislam hautazami nini kinaruhusiwa, tunatazama nini kinakatazwa, kama hakijakatazwa kwenye Qur'an hata Mtume hawezi kukikataza na ukiona kimekatazwa kwenye hadithi yoyote ile ujuwe hiyo ni porojo tu, kwa sababu Mtume kakatazwa kwenye Qur'an kuharamisha chochoyte mabachp hakijaharamishwa na Allah.
Upo hapo ulipo?
a Yeye. Na akikutakia kheri, basi hapana awezaye kurudisha fadhila yake.Huifikisha kwa amtakaye katika waja wake, na Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
107
Qur'an 10:108. Sema: Enyi watu! Haki imekwisha kukujieni kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Basi anaye ongoka anaongoka kwa faida ya nafsi yake, na anaye potea anapotea kwa khasara ya nafsi yake. Na mimi si mwakilishi juu yenu.
108
109. Na wewe fuata yanayo funuliwa kwako kwa wahyi. Na vumilia mpaka Mwenyezi Mungu ahukumu, na Yeye ndiye mbora wa mahakimu.
109