Bando la wiki
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 911
- 3,017
Ahah bibi Foxy naona unateseka na kauli ya shekhe, lazima nyote mtoke mapangoni kama viongozi wa HamasππUnachanganyua mada, wewe Mtanzania US inakuhusu nini mwenzangu na mie?
Wenzako huko breakfast ni nusu kila steak na fresh orange juice wanasukumia kwa mkate wa ngano ile grade A.
yeyote wanaemchaguwa hayatuhusu huku kwetu. Au na wewe ushajijaza ujinga kuwa mmarekeani kwa kutazama picha zao?
Mafundisho unajua wewe π£ π£ π£ na π π ?!!Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Mudi akitaka beba mke wa mtu anasema alipewq revelation aka Aya na Allah kimsiki Allah alikuwa msukule wa MudiHivi kweli kuna mazwazwa kabisa wanamuamini huyu sheikh? Uislam na mwanamke ni vitu viwili tofauti na ndiyo maana Muddy alikuwa anajibakia tu wake za watu at will because he had no respect for them.
Malizia na wa HisbollahAhah bibi Foxy naona unateseka na kauli ya shekhe, lazima nyote mtoke mapangoni kama viongozi wa Hamasππ
Watu wabaya sana π π π π π π πWatu washaanza figisu. Ngoja Lucas Mwashambwa aone atakavyobubujikwa na machozi
Wapo wendawazimu wengi tu wanasilimu.yaani hii dunia ya watu zaidi ya Bilion 3 wakosekane wa kusilimu? Wapo wangapi wanajiunga na dini za mashetani kila siku?Wameshindqa ma ibilisi utaweza wewe?
Jiulize hilo kwanza, mwenzako huyu akaamuwa kusilimu:
View: https://youtu.be/pQG-oIMSbco?si=Ck-J8_LDDLSwP5td
Kumbe huna uelewa. Aliyekuwa anaongoza Uk alikuwa anaitwa Queen or King Elizabeth?k
kwani malikia ni mfalme.?
kuwa first lady sio tatizo
Nafahamu unachukia kwanini unaupenda Uislam.Wapo wendawazimu wengi tu wanasilimu.yaani hii dunia ya watu zaidi ya Bilion 3 wakosekane wa kusilimu? Wapo wangapi wanajiunga na dini za mashetani kila siku?
Muddy ni wakala wa ibilisi.
AlhamduliLlah naufahamu na na nnajivunia Uislam wangu.Mafundisho unajua wewe π£ π£ π£ na π π ?!!
Hapana, siyo kauli ya Sheikh hiyo, huo mkanda utakuwa umechezewa. Hakuna Sheikh anayeweza kuipinga Qur'an. Kuharamisha kitu ambacho hakijaharamishwa na Qur'an ni kuipinga Qur'an.Ahah bibi Foxy naona unateseka na kauli ya shekhe, lazima nyote mtoke mapangoni kama viongozi wa Hamasππ
Kwani salat haijaelezwa na WQur'an? Anza kujibu hilo kwanza.Sikatai quran imejitosheleza hilo halina shaka ndani yake.
Ila tu assume tunaondoa hadith na sasa tunakomaa na quran pekee unaweza kunipa aya zinazoelezea jinsi ya kuswali ? Procedures zote yaani naongelea tukianza na takbira tul ihram, mpaka salam.
halafu unipe aya pia inayosema tuswali swala tano iwe imejieleza bila ya ku backup na hadith yoyote ile , sijaujua kama unafahamu kuwa mtume muhammad (amani iwe juu yake) alienda kupokea swala kwenye arshi ya Allah (azzawajal) kwenye safari ya miiraj.
Hapa pana mtazamo tofauti kwa maulamaa. Wapo wanaosema nchi ikiongozwa na mfumo wa kiislamu mwanamke hafai kuongoza. Nchi ikiongozwa na mifumo iloofeli kama ya ulaya mwanamke sio kosa
Yooote uliyoyaandika nayafahamu kiundani tu ishu ni kwamba umesema hadith ni maneno ya watu tu na quran imejitosheleza , halafu hapa unasema tena hadith inayokubalika ni ile inayoambatana na aya quran sio ya kubuni MKUU UNASIMAMIA WAPI?Hditrh inayokubalika ni ile inayoambatana na aya ya Qutr'an siyo ya kubuni tu.
Huwa sikisii.
Uislam hautazami nini kinaruhusiwa, tunatazama nini kinakatazwa, kama hakijakatazwa kwenye Qur'an hata Mtume hawezi kukikataza na ukiona kimekatazwa kwenye hadithi yoyote ile ujuwe hiyo ni porojo tu, kwa sababu Mtume kakatazwa kwenye Qur'an kuharamisha chochoyte mabachp hakijaharamishwa na Allah.
Upo hapo ulipo?
a Yeye. Na akikutakia kheri, basi hapana awezaye kurudisha fadhila yake.Huifikisha kwa amtakaye katika waja wake, na Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.107
Qur'an 10:108. Sema: Enyi watu! Haki imekwisha kukujieni kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Basi anaye ongoka anaongoka kwa faida ya nafsi yake, na anaye potea anapotea kwa khasara ya nafsi yake. Na mimi si mwakilishi juu yenu.108
109. Na wewe fuata yanayo funuliwa kwako kwa wahyi. Na vumilia mpaka Mwenyezi Mungu ahukumu, na Yeye ndiye mbora wa mahakimu. 109
Kama nabii wa Allah kuoa mtoto wa miaka6 na kumlala akiwa na miaka9AlhamduliLlah naufahamu na na nnajivunia Uislam wangu.
Naaam. Hadith zipo za ndsani ya Qur'an ni maneno ya Allah na zipo za nje a Qur'an ni maneno ya watu tu.Yooote uliyoyaandika nayafahamu kiundani tu ishu ni kwamba umesema hadith ni maneno ya watu tu na quran imejitosheleza , halafu hapa unasema tena hadith inayokubalika ni ile inayoambatana na aya quran sio ya kubuni MKUU UNASIMAMIA WAPI?
Kingine haujajibu swali langu hata moja naona unazidi kuongeza mambo mengine meengi ambayo yanahitaji maelezo tofauti , tafafhali hebu tumalize kwanza hoja moja kabla ya kuanzisha nyengine .
Kwa sasa naomba unijibu maswali yangu kwanza.
Yupo sahihiBado sijapata jina la shehe huyu, lakini hakika kasema bila woga kwa kunukuu maandiko tunayoyaamini kuwa ni matakatifu.
Anayebisha anaye mpinga basi atuonyeshe naye kuwa shehe hapo kapotosha wala sio kweli. Hii inasaidia kuponya taifa maana kama jambo alilikataza mwenyezi Mungu kulifanya ni ubatili.
FaizaFoxy
ilo hali na tagtizo kabisa, kamuoa, akabaki kwao mpaka alipoanza kuingia mwezini, akachukuwa chuma kibichi kwa halali ya kuozwa na babake zake.Kama nabii wa Allah kuoa mtoto wa miaka6 na kumlala akiwa na miaka9
Tatizo sio uchumi tu. Tatizo mila..ulaya kuna ushenzi mwengi sanaMifumo ya Ulaya imefeli? ππππ
Ulaya na Middle East wapi kumeendelea? Nchi gani ya ME imefikia hata robo ya maendeleo ya kimifumo, miundombinu, watu, uchumi ya nchi kama Swiss, Norway au Luxembourg?