Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.

Sio maoni yake, hiyo dini yenu huwachukulia wanawake kama takataka, kumbuka yule muarabu aliyeibuni hiyo dini alikuwa anagegeda katoto ka miaka tisa.
 
Mimi nakuuliza, kabla ya mtume Muhammad watu walikuwa wanasali au hawasali?

Kila umma umepewa mtume wake na kila mtume amepewa sheria zake kwa uchache wa vile ambavyo tunavifahamu mpaka sasa (kupitia quran) kwa ibrahim(alayhi salaam) alipewa suhuf , kwa daudi (alayhi salaam) alipewa zabur , kwa musa alayhi salam (alipewa taurati) , kwa isa (alayhi salaam ) alipewa injil na mwisho kabisa mtume muhammad (swalallah alayhi wassalam) amepewa al-furqan.

Kila kitabu kilikuwa na sheria zake na namna ya kutimiza ibada zake kuhusu kuswali walikuwa wanaswali kwa namna Allah(subhama huwataala) alivyowapangia kwenye vitabu vya mtume husika wa muda huo .
 
Kitu ambacho hukielewi ni kimoja tu. Huwezi kuharamisha kitu ambacho hakijaharamishwa na Qur'an.

Ukiiona hadith yoyote ile inaharamisha kitu ambachpo hakijaharamishwa na Allah, ujuwe bomu hilo.


1:116. Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: Hichi halali,na hichi haramu - mkimzulia uwongo Mwenyezi Mungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa. 116

kwamba waliokaa wakasoma elimu ya hadith (science of hadith) wakazichambua na kuzitawanya kwamba hii sahih , hii dhaif na hii hasan walikurupuka tu ? hawakuxingatia hayo uliyoyataja?
 
kwamba waliokaa wakasoma elimu ya hadith (science of hadith) wakazichambua na kuzitawanya kwamba hii sahih , hii dhaif na hii hasan walikurupuka tu ? hawakuxingatia hayo uliyoyataja?
Hata mimi nazisoma kila siku.

Hadith haifuti wala haiharamishi chochote ambacho hakijaharamishwa na Qur'an.

hakuna mahali Qur'an imeharamisha mwanamke kufanya kazi yoyote ile ya halali.


Kumbuka hayo.
 
Tusaidie hiyo nukuu ya Kiarabu aliyoweka hapo sio sahihi au nayo ni maoni yake!?
FaizaFoxy anasema hizo ni nukuu za watu sio za Allah, kwasababu ingekuwa imeharamishwa katika Quran basi ni ya Allah na sio huko kwngine kwenye Hadith

grand millenial yeye anaamini katika Hadith na anaamini imetoa mwongozo wa sala na hayo makatazo mengine ya kuongozwa na Mwanamke kama kiongozi Mkuu

We learn something here,
 
Sio maoni yake, hiyo dini yenu huwachukulia wanawake kama takataka, kumbuka yule muarabu aliyeibuni hiyo dini alikuwa anagegeda katoto ka miaka tisa.

1. Hakuna sehemu uislamu umewachukulia wanawake kama takataka labda ukristo ( na ninasema haya nikiwa na ushahidi wa bible verses. Am open for discussions when you are).

2. Alimuoa akiwa na miaka 6 na kumchukua akiwa na miaka 9 hilo halipingiki na kwa zama zile ilikuwa kawaida sana . Ambacho nashangaa ni kwamba mtu anayeshangaa hilo anasahau kwamba wayahudi wao walioa kabisa binti akiwa na miaka mi 3 (literaly 3 years old of age) na hadi kuna verses kwenye vitabu vya imani yao mfano (mishna niddah 5:4 andika kama ilivyo google halafu uje hapa tena).

3. Mtume muhammad (peace be upon him) hakubuni uislamu ila ametumwa kuukamilisha uislamu ni dini ya Allah (subhanna huwataala).
 
Hata mimi nazisoma kila siku.

Hadith haifuti wala haiharamishi chochote ambacho hakijaharamishwa na Qur'an.

hakuna mahali Qur'an imeharamisha mwanamke kufanya kazi yoyote ile ya halali.


Kumbuka hayo.
Naona unazidi kuzunguka bila HOJA , maswali yangu unayavuka na hautaki kujibu hata moja. Yote ya yote ukipata muda jaribu kupitia posti zangu za nyuma nilizokunukuu kisha zisome halafu ujibu hayo maswali .

Alamsik.
 
Hadithi hiyo ipo wazi, haijakataza kutawaliwa na mwanamke, ila imesema jamii hiyo haitafanikiwa,sasa chaguo ni la jamii kama wanataka mafanikio au la!
Hizo ni simulizi na maneno ya waarabu yasiyo na uhalisia wowote ule wa kidunia. Jamii ngapi kubwa zimetawaliwa na wanawake na zimefanikiwa sana tu ?​
 
Hadithi hiyo ipo wazi, haijakataza kutawaliwa na mwanamke, ila imesema jamii hiyo haitafanikiwa,sasa chaguo ni la jamii kama wanataka mafanikio au la!
hiyo hadithi isiwe "misquoted" kwa kuwacha contents muhimi ikapelekea kusemwa hayo. Kilitokea nini au kulikuwa na swa;li lilioulizwa?

Hayo yote ni mambo ya kutazama kwenye hafduthi, kwa sababu unaweza kuchukuwa yale uyatakayo ukawacha fikra zilizopelekea kusemwa hayo ili mradi ujenge hoja yako.

Nimefurahi japo umeliona hilo, kuwa haikukatazwa Mwanamke kuwa kiongozi. Binafsi sikutaka kwenda sana kwenye kuwachambulia watu hiyo hadith. Kwa sababu poinyt ya muhimu ni kuwa, Qur'an kama haijakataza hakuna yeyote, nasisitiza, hakuna yeyogte mwengine anayeweza kukataza. Si hadiuthi sahihi wala dhaoifu wala shekhe yeyote yule, labda awe hana elimu ya kutosha.

Hata huyo Sheikh, kama kweli kayasema hayo inaweza kuwa mengone kakatwa ili watu wapoteze maana. ndiyo maana nikasema kama si AI.
 
Hizzo pia ni porojo zako. Mwongozo wa Kiislam siyo porojo. Qur'an.
Hizo ni porojo? Una uhakika na hilo suala?
Alichoongea huyu sheikh ndio mafundisho sahihi ya hiyo dini yenu ya Kiislamu, Wala hajakosea.
Kujuwa ni kwema sana.

Hakuna kuburuzana kikondoo.
Hapana, FaizaFox wewe ndio unaonekana haujui mafundisho sahihi kuhusu hiyo dini ya Kiislamu.
Mimi siyo Mwislamu lakini baada ya kumuuliza rafiki yangu fulani wa tangu miaka mingi (yeye ni Miongoni mwa Wanazuoni wa Kiislamu na pia miongoni mwa Mashehe maarufu Sana kwa hapa Tanzania), amenithibitishia pasipo kuacha chembe ya Shaka kwamba alichoongea huyo Shehe kwenye video ndio Mafundisho sahihi na ni Muongozo sahihi kwa dini ya kiislamu kuhusu suala hili.
Aidha,amenitajia kuwa hiyo ni nukuu ya hadithi ya Mtume kutoka "Sahil al-Bukhari 7099."

Hapa hakuna ubishi wa hadithi wala Qur'an.

Sikusikia katika video ikinukuliwa Qur'an wala hadithi.

Inabaki kuwa porojo tu.
Siyo porojo, hiyo ni nukuu kutoka Sahil al-Bukhari 7099.
 
Back
Top Bottom