DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Wewe umechochewaMchochezi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umechochewaMchochezi!
Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Mimi nakuuliza, kabla ya mtume Muhammad watu walikuwa wanasali au hawasali?
Kitu ambacho hukielewi ni kimoja tu. Huwezi kuharamisha kitu ambacho hakijaharamishwa na Qur'an.
Ukiiona hadith yoyote ile inaharamisha kitu ambachpo hakijaharamishwa na Allah, ujuwe bomu hilo.
1:116. Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: Hichi halali,na hichi haramu - mkimzulia uwongo Mwenyezi Mungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa. 116
Hata mimi nazisoma kila siku.kwamba waliokaa wakasoma elimu ya hadith (science of hadith) wakazichambua na kuzitawanya kwamba hii sahih , hii dhaif na hii hasan walikurupuka tu ? hawakuxingatia hayo uliyoyataja?
FaizaFoxy anasema hizo ni nukuu za watu sio za Allah, kwasababu ingekuwa imeharamishwa katika Quran basi ni ya Allah na sio huko kwngine kwenye HadithTusaidie hiyo nukuu ya Kiarabu aliyoweka hapo sio sahihi au nayo ni maoni yake!?
Sio maoni yake, hiyo dini yenu huwachukulia wanawake kama takataka, kumbuka yule muarabu aliyeibuni hiyo dini alikuwa anagegeda katoto ka miaka tisa.
Naona unazidi kuzunguka bila HOJA , maswali yangu unayavuka na hautaki kujibu hata moja. Yote ya yote ukipata muda jaribu kupitia posti zangu za nyuma nilizokunukuu kisha zisome halafu ujibu hayo maswali .Hata mimi nazisoma kila siku.
Hadith haifuti wala haiharamishi chochote ambacho hakijaharamishwa na Qur'an.
hakuna mahali Qur'an imeharamisha mwanamke kufanya kazi yoyote ile ya halali.
Kumbuka hayo.
Hadithi hiyo ipo wazi, haijakataza kutawaliwa na mwanamke, ila imesema jamii hiyo haitafanikiwa,sasa chaguo ni la jamii kama wanataka mafanikio au la!
Ngoja nicheke mieHuyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Inabidi ucheke, usilolijuwa ni usiku wa kiza.Ngoja nicheke mie
hiyo hadithi isiwe "misquoted" kwa kuwacha contents muhimi ikapelekea kusemwa hayo. Kilitokea nini au kulikuwa na swa;li lilioulizwa?Hadithi hiyo ipo wazi, haijakataza kutawaliwa na mwanamke, ila imesema jamii hiyo haitafanikiwa,sasa chaguo ni la jamii kama wanataka mafanikio au la!
Unabishana na sheikhHuyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
Hapana, FaizaFoxy yeye anaiamini na kuifuata Quran na sio Hadith ya Mtume
Mwanamke kazi yake ni kuzaa, kulea watoto na kazi za jikoni.Mwanamke hafai kua kiongozi
Kubishana nini na Sheikh yupi?Unabishana na sheikh
nieleweshe mkuuHuelewi. And still you try to use English to prove you dont understand.
Mwanamke kazi yake ni kuzaa, kulea watoto na kazi za jikoni.
Sawa kazi ya Mwanamke kujifungua, kulea watoto na kazi za jikonimkuu hapo kwenye kuzaa isomeke kujifungua maana anayezaa ni mwanaume.
Hizo ni porojo? Una uhakika na hilo suala?Hizzo pia ni porojo zako. Mwongozo wa Kiislam siyo porojo. Qur'an.
Hapana, FaizaFox wewe ndio unaonekana haujui mafundisho sahihi kuhusu hiyo dini ya Kiislamu.Kujuwa ni kwema sana.
Hakuna kuburuzana kikondoo.
Siyo porojo, hiyo ni nukuu kutoka Sahil al-Bukhari 7099.Hapa hakuna ubishi wa hadithi wala Qur'an.
Sikusikia katika video ikinukuliwa Qur'an wala hadithi.
Inabaki kuwa porojo tu.