Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Uislam una Madhehebu

Labda utufafanulie kwa Sababu Bakwata ina Viongozi Wengi tu Wanawake

Pili Tanzania siyo Nchi ya Kiislam hivyo Katiba waliotuachia Wamishioni ndio Mwongozo wa maisha ya watanzania
Bakwata ni Taifa?
Kiongozi Gani wa juu wa Bakwata ni mwanamke?
Mufti wa TANZANIA ni mwanamke?
Tanzania tumejitafitia laana wenyewe, tupo kinyume na nature
 
Ipo bana Hadith imesema hivyo hamna nchi itakayofanikiwa kwa kuwa na kiongozi mwanamke asa we bishana for the sake of kubisha wakati we mwenyewe unajua
Hizzo pia ni porojo zako. Mwongozo wa Kiislam siyo porojo. Qur'an.
 
hakuna zaidi ya porojo tu ha[po.

Waislam mwongozo wegtu ni Qur'an, siyo porojo za mtu.

Labda nikupe ddarsa kidogo:
Chochote ambacho hakijaharamishwa na mwenyezi Mungu ni halali Kiislam.

Usisahau hilo.
 
Uislam una Madhehebu

Labda utufafanulie kwa Sababu Bakwata ina Viongozi Wengi tu Wanawake

Pili Tanzania siyo Nchi ya Kiislam hivyo Katiba waliotuachia Wamishioni ndio Mwongozo wa maisha ya watanzania
Punguza kasi, hajasema kuhusu vyeo vya chini, amesema dini inakataza kuwa kiongozi wa juu kabisa kuwaongoza wanaume na ametaja nafasi zinazokubalika.
 
Niambie wapi kwenye hio Quran wamekuelekeza namna ya kusali?..
Hadith ikiwaumbua mnakimbilia Quran
Hapa hakuna ubishi wa hadithi wala Qur'an.

Sikusikia katika video ikinukuliwa Qur'an wala hadithi.

Inabaki kuwa porojo tu.
 
Aliwahi kuwepo khalifa mwanamke akaongoza umma wa Waislam?
Tupo wengi sana, kupita mfano. Hata mama'ko ni Khalifa (t) au alikuamrisha weqe ufanye maovu uwache mema?

Labda huelewi maana ya neno Khalifa (t). Kila binadam mwenye kukataza maovu na kuamrisha mema ni Khalifa (t).

Kafanye homework yako urudi tena na jingine. Uislam ni mwema sana.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mchochezi mleta mada sheikh kasema kama alivyonukuu hakusema aungwe mkono Mzee Chakaza!
Kipara umefanya nicheke hadi nimepaliwa! Haungwi mkono yeye inaungwa mkono hoja yake na kuiheshimu!
Kipara vipi bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…