Mashehe wangu Watukufu, katika siasa tumuunge mkono huyu Shehe na nukuu yake

Huyo hayo ni maoni yake binafsi siyo mafundisho ya Kiislam. Kama haijatumika AI kumpachika maneno.
hapana, mtume wetu ndo kayasema haya maneno ya kwamba umma ule ambao kiongozi wake ni mwanamke hautafanikiwa.
 
hayo kasema mtume ilikuwa nini hata akasema hivyo?

Inaweza kuwa alisema "wanasema...

Hatwendi hivyo. Mtume kapewa wahyo nao ni Qur'an. Ukimleta Mtume useme Mtume kasema Allah anasema....

Hiyo sasa inakuwa Qur'an, wala hatupati shida. Nje ya hapo ni porojo tu.
 
Nipe mfano wa hayo uyasemayo kama wewe ni katika wa kweli.
Sahih Muslim 510 a
Abu Dharr reported:

1. The Messenger of 'Allah (ﷺ) said: When any one of you stands for prayer and there is a thing before him equal to the back of the saddle that covers him and in case there is not before him (a thing) equal to the back of the saddle, his prayer would be cut off by (passing of an) ass, woman, and black Dog. I said: O Abu Dharr, what feature is there in a black dog which distinguish it from the red dog and the yellow dog? He said: O, son of my brother, I asked the Messenger of Allah (ﷺ) as you are asking me, and he said: The black dog is a devil.

2. Ibn Mas'ud reported God’s messenger as saying, “Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinn.”

Tirmidhi transmitted it, as also Nasa'i, but he did not mention “the provision of your brethren among the jinn.”

1. Unakubali kuwa mkiwa mnaswali na akapita Mwanamke au Punda au Mbwa mweusi mbele yenu basi swala yenu inakuwa batili ?

2. Unakubali kuwa Majini ni ndugu zenu hadi mnaitana kaka na dada ?
Ulisha wahi kumwona kaka yako wa Kijini ?
Na kwanini humtafuti ?

Je hayo maandiko aliyaandika nani ?
NASUBIRI Jibu.
Au wewe Unayakanusha ?

Yaani Mwanamke anafananishwa na Mbwa mweusi.
Ndio kumthamini mwanamke huko.
Kumbe huyo mdada haruhusiwi kupita mbele ya nyumba ya Ibada eti anaharibu swala yote.

Huu kama sio upuuzi nini basi.
Ongea nikusikie.

Kumbe Ibirisi ni Mbwa mweusi na sio Mbwa mwekundu. 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndio nakubali. Jenga hoja.
2. Unakubali kuwa Majini ni ndugu zenu hadi mnaitana kaka na dada ?
Ulisha wahi kumwona kaka yako wa Kijini ?
Na kwanini humtafuti ?
Majini ni Viumbe ambao kati yao wapo wazuri na pia wapo waovu kama ilivyo Binadamu kuna Wema na Waovu.

Cha kukusaidia tuu ni kuwa Kuna Tofauti ya Jini na Shetani.

Shetani ni Jini Muovu.
Pia sisi Hatuna Ndugu katika Majini. Lakini ni Viumbe ambao wapo katika ulimwengu wao wenyewe (Usioingiliana na Wetu).
Je hayo maandiko aliyaandika nani ?
NASUBIRI Jibu.
Au wewe Unayakanusha ?
Jenga hoja.
Yaani Mwanamke anafananishwa na Mbwa mweusi.
Ndio kumthamini mwanamke huko.
Kila kitu huwekwa kwa maana yake na haimaanishi maana moja itatumika katika Muktadha wote.

Cha kusikitisha Sidhani kama Ulishawahi kuisoma mistari kwenye biblia juu ya Mwanamke??. Inahuzunisha
Kumbe huyo mdada haruhusiwi kupita mbele ya nyumba ya Ibada eti anaharibu swala yote.
Unachanganya mambo.

Haruhusiwi kupita mbele ya Nyumba ya Ibada au Mbele ya Mtu anae swali??
Huu kama sio upuuzi nini basi.
Ongea nikusikie.
Siwezi kujadili na Mtu anaetumia Lugha za Matusi na Kejeli.

Kama Umri wako bado haujafikia kujenga Hoja Za Kiungwana Basi tuishie hapa.
Kumbe Ibirisi ni Mbwa mweusi na sio Mbwa mwekundu. 🤣🤣🤣🤣🤣
Dhihaka sio hoja.
 
Back
Top Bottom