Pre GE2025 Masheikh 12 waliochiwa na mahakama kutokana na tuhuma za ugaidi Machi 4 wakamatwa tena na kurudishwa gerezani!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acheni chuki zenu. Huu ni uhuni wa serikali. Kama ni hatari kwa nini wasingekutwa na hatia na wanakaa tu gerezani? Angalia sana hujui kesho ni nini kinakuja kwako.
Serikali ina vyombo vingi vya kuchunguza
Kuna mashehe wangapi Tanzania kwanini washikiriwe hao tu
Heshimu vyombo vya usalama, wewe unalala ndani unakoroma, wenzetu hawalali wanachunguza
 
Serikali ina vyombo vingi vya kuchunguza
Kuna mashehe wangapi Tanzania kwanini washikiriwe hao tu
Heshimu vyombo vya usalama, wewe unalala ndani unakoroma, wenzetu hawalali wanachunguza
Unajua maana ya division of labour? Vyombo vya usalama vinafanya kazi kama mimi navyofanya kazi ya ukulima au udaktari. Umuhimu wao ni kama wa kazi yangu. Vinatakiwa kufanya kazi kwa kutumia sheria za nchi na siyo uhuni.
 
Kinachoshangaza ni Shura ya Maimamu pekee ndiyo wanapaza sauti. BAKWATA wenyewe wako busy na dua ya kumuombea Mama ili aishi milele.
BAKWATWA wamekwatwa yaani wamekamatwa kwa tende na halua yaani wanaumwa apedomia.Yule Mufti anapenda misosi balaa,lazima alambe viatu vya mama maana bakwata ni tawi la ccm.Mwaka 1968 ilivyoanzishwa serikali ya TANU iligharamia kila kitu.Bwana Nassib alijifisha ndani ya koti la serekali.Bakwata wape msosi tu.
 
Unajua maana ya division of labour? Vyombo vya usalama vinafanya kazi kama mimi navyofanya kazi ya ukulima au udaktari. Umuhimu wao ni kama wa kazi yangu. Vinatakiwa kufanya kazi kwa kutumia sheria za nchi na siyo uhuni.
Uhuni Gani kuwashikiria wahalifu ili wajiridhishe
Wakiachiwa kesho wakailipua kariakoo
Sio kila kitu kitawekwa wazi kwako nyingine zinakuwa taarifa nyeti
 
Na wale magaidi waliommiminia Lissu risasi wanakamatwa lini?
 
wanapoua wapinzan mnahisi wapiga kelele ni wehu si mrefu mkiitwa barabarani mtaanza pata akili ya kujumuika
 
Ukiona hivi ujue jamaa ni very dangerous, hawana sababu ya kuwafanyia hivi kama sio imminent threat to national security .
Lazima ni watu hatari hao. Naangalia tu watu wanavyodemka hapa.
Isitoshe Mama si mmoja wao mbona anawatendea hivyo.??? Lazima Kuna vitu vinajulikana.
 
Magufuli hawakuwahi kuwasingizia lolote Hawa masheikh.

Nyingine hizo ni Siasa za kutaka kuonekana anajali wa Dini yake.

Jamaa Mmoja alikua na Garage Mahali, ni Sheikh , huyu jamaa hakua na wateja sana na alikua anapotea pale Kila mwezi Mmoja anatoka wiki Moja mpaka mbili.

Akawa na Mali za kutosha kwelikweli.

Siku Moja ikaletwa Gari pale matengenezo, Jamaa mwenyewe alikuwepo.

Mida ya saa Saba mchana, zikapaki Gari zénye full tinted , wakashuka watu zaidi ya sita, wenye Bunduki ,walovalia nguo nyeusi Kaunda na mawani ya meusi.

Wakamkata gari zikawashwa ,wakaelekea uwanja wa Ndege, Akapakiwa Ndani ya Ndege na watu hao , wakasepa .

Baadae sana ,Ilikuja gundulika Jamaa alikua na mtandao wa Kigaidi uliokua unafadhiliwa na Magaidi kupitia Dini yake ya UISLAMU.

Sema Nchi yetu, Inasumbuliwa sana na Viongozi wanaoshikamanisha Imani zao na Maisha ya watu .

Hao Masheikh ni Magaidi .
 
Dah!, imeniuma kama vile ni ndugu zangu wa damu, Inshallah Mungu atawatia adabu wote wanaohusika kupola haki zao hao Watanzania wenzetu, walishakaa jela miaka kumi? nikweli?
 
Acheni chuki zenu. Huu ni uhuni wa serikali. Kama ni hatari kwa nini wasingekutwa na hatia na wanakaa tu gerezani? Angalia sana hujui kesho ni nini kinakuja kwako.
Sasa wewe unaupenda uislam kumzidi Mama Samia Suluhu?
 
Kinachoshangaza ni Shura ya Maimamu pekee ndiyo wanapaza sauti. BAKWATA wenyewe wako busy na dua ya kumuombea Mama ili aishi milele.
Hivi kumbe inawezekana mtu kuishi milele kwa kusifiwa tu ? Kwanini Magu alizikwa ?
 
Magaidi hayo,serikali sio wajinga kuwashikiria tena.

Ili kupunguza hoja na kelele kama hizi magidi yanatakiwa ya malizwe kimya kimya tu.

Ili kuondoa kero za wafia dini na wapenda ugaidi kulialia mitandaoni
 
Nawashauri nyie Shura ya Maimamu Muungane na wale Watu wanaopigania Mabadiliko ya Katiba ya nchi pamoja na Sheria nyinginezo ili kuweza kujenga Mazingira ya kuwepo kwa HAKI na Demokrasia kwa Watu wote kabisa katika Jamii. Hili ni jambo la muhimu sana kulipigania!

Endapo kama Katiba mbaya itaondoka, na endapo kama Sheria kandamizi zitaondoka, basi DHULUMA kubwa Kama hizi za kuwafunga Watu gerezani bila ya uhalali wowote wa kisheria zitaondoka.
 
Magaidi hayo,serikali sio wajinga kuwashikiria tena.

Ili kupunguza hoja na kelele kama hizi magidi yanatakiwa ya malizwe kimya kimya tu.

Ili kuondoa kero za wafia dini na wapenda ugaidi kulialia mitandaoni

Ni kweli kabisa kwamba Ugaidi ni jambo baya sana kwa Usalama wa Watu, lakini tuhuma kama hizi zinapaswa kuchukuliwa kwa uangalifu mkubwa sana ili kuweza kuepuka kuwaumiza Watu wengine wasiohusika. Ni lazima Mamlaka za Uchunguzi zijiepushe na masuala ya Kubambikia Watu Kesi au kuwatuhumu Watu kwa tuhuma hizi pasipo kuwa na Ushahidi usioavha shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…