MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Shura ya maimamu wakae kwa kutulia. Vyombo vya usalama vinajua kazi zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ina vyombo vingi vya kuchunguzaAcheni chuki zenu. Huu ni uhuni wa serikali. Kama ni hatari kwa nini wasingekutwa na hatia na wanakaa tu gerezani? Angalia sana hujui kesho ni nini kinakuja kwako.
Unajua maana ya division of labour? Vyombo vya usalama vinafanya kazi kama mimi navyofanya kazi ya ukulima au udaktari. Umuhimu wao ni kama wa kazi yangu. Vinatakiwa kufanya kazi kwa kutumia sheria za nchi na siyo uhuni.Serikali ina vyombo vingi vya kuchunguza
Kuna mashehe wangapi Tanzania kwanini washikiriwe hao tu
Heshimu vyombo vya usalama, wewe unalala ndani unakoroma, wenzetu hawalali wanachunguza
BAKWATWA wamekwatwa yaani wamekamatwa kwa tende na halua yaani wanaumwa apedomia.Yule Mufti anapenda misosi balaa,lazima alambe viatu vya mama maana bakwata ni tawi la ccm.Mwaka 1968 ilivyoanzishwa serikali ya TANU iligharamia kila kitu.Bwana Nassib alijifisha ndani ya koti la serekali.Bakwata wape msosi tu.Kinachoshangaza ni Shura ya Maimamu pekee ndiyo wanapaza sauti. BAKWATA wenyewe wako busy na dua ya kumuombea Mama ili aishi milele.
Uhuni Gani kuwashikiria wahalifu ili wajiridhisheUnajua maana ya division of labour? Vyombo vya usalama vinafanya kazi kama mimi navyofanya kazi ya ukulima au udaktari. Umuhimu wao ni kama wa kazi yangu. Vinatakiwa kufanya kazi kwa kutumia sheria za nchi na siyo uhuni.
Na wale magaidi waliommiminia Lissu risasi wanakamatwa lini?Wakuu, mambo yameamka huku
====
Jana Machi 4, 2025 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Kirekiano iliwaachia huru MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi.
Baada ya hukumu hiyo Shura ya Maimamu Tanzania ilitoa taarifa ya kuachiwa huru Masheikh hao.
Wakati taarifa hiyo ikitolewa Masheikh hao walikua wako chini ya itifaki za watu wa usalama na ndugu walitakiwa kwenda kituo cha Polisi cha stakishari kwaajili ya kukamilisha itifaki hizo.
Hata hivyo majira ya magharibi ndugu walipofika stakishari waliambiwa masheikh hao hawajafikishwa pale.
Aidha leo asubuhi ndipo zilipopatikana taarifa kuwa ndugu Masheikh hao wapo katika gereza la Ukonga walilpokuwapo awali.
Ni wazi baada ya Mahakama kuwaachia huru Masheikh hao, watu wa usalama walitumia mbinu mbalimbali wakafanikiwa kuwakamata tena na kuwafungulia mashtaka mapya bila ya ndugu zao kufahamu.
Kwa hakika tukio hili linadhihirisha jinsi ambavyo serikali iliyopo madarakani isivyojali haki za binadamu. Watu hawa wamekamatwa toka 2015, mpaka leo serikali imeshindwa kuthibitisha tuhuma dhidi yao lakini inaendelea kuwanyima haki za msingi na kuwatesa.
Pia soma: Pre GE2025 - Masheikh 12, waliokaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi waachiwa huru
Katika taarifa ya jana tumeeleza madhila yaliyowakuta baadhi yao ikiwa ni pamoja na kupoteza wenziwao na wengine kufia gerezani.
Hivi viongozi wetu wanashindwa kuvihoji vyombo vyao juu ya matukio haya yaliyo kinyume na sheria na utu.
Hivi inaingia akilini mzee Sleiman Ulatule miaka 90, achukue familia yake ya zaidi ya watu 7, waende kuvamia kituo cha polisi?
Katika wasifu huo watawala watakua na uso gani wa kusimama mbele ya wananchi wakiwemo Waislamu kuwaomba ridhaa ya kuongoza nchi.
Ni zuzu wa kiasi gani atakayewapa ridhaa watawala wasio zingatia haki za binadamu, uhuru na haki za kuishi zinazolindwa na Katiba ya nchi.
Aidha tutumie fursa hii kuwaomba Waislamu wote nchini kutumia fursa hii ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuomba dua makhsusi na kumkabidhi Mwenyezi Mungu Mtukufu atoe hukumu kwa haya wanayotendewa wanyonge nchini Tanzania.
Atakayeacha kuomba dua hii maana yake ameridhia haya wanayotendewa binadamu wenzake wasio na hatia yoyote.
Shura ya Maimamu Tanzania
WAO WANADAI HAKI YA WAUMINI WENZAO, TUHUMA PEKE YAKE AIDHILISHI KOSA, NDIYO MAANA KUNA MAHAKAMA, MIAKA KUMI MAHABUSU SIYO MCHEZO, BILA MAHAKAMA KUAMUA.watu wana tuhuma za ugaidi, na shura ya maimamu inawatetea. tuweke conclusion gani hapo?
tuhuma za ugaidi miaka 10 gerezani?tumia akili kidogowatu wana tuhuma za ugaidi, na shura ya maimamu inawatetea. tuweke conclusion gani hapo?
wanapoua wapinzan mnahisi wapiga kelele ni wehu si mrefu mkiitwa barabarani mtaanza pata akili ya kujumuikaWakuu, mambo yameamka huku
====
Jana Machi 4, 2025 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Kirekiano iliwaachia huru MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi.
Baada ya hukumu hiyo Shura ya Maimamu Tanzania ilitoa taarifa ya kuachiwa huru Masheikh hao.
Wakati taarifa hiyo ikitolewa Masheikh hao walikua wako chini ya itifaki za watu wa usalama na ndugu walitakiwa kwenda kituo cha Polisi cha stakishari kwaajili ya kukamilisha itifaki hizo.
Hata hivyo majira ya magharibi ndugu walipofika stakishari waliambiwa masheikh hao hawajafikishwa pale.
Aidha leo asubuhi ndipo zilipopatikana taarifa kuwa ndugu Masheikh hao wapo katika gereza la Ukonga walilpokuwapo awali.
Ni wazi baada ya Mahakama kuwaachia huru Masheikh hao, watu wa usalama walitumia mbinu mbalimbali wakafanikiwa kuwakamata tena na kuwafungulia mashtaka mapya bila ya ndugu zao kufahamu.
Kwa hakika tukio hili linadhihirisha jinsi ambavyo serikali iliyopo madarakani isivyojali haki za binadamu. Watu hawa wamekamatwa toka 2015, mpaka leo serikali imeshindwa kuthibitisha tuhuma dhidi yao lakini inaendelea kuwanyima haki za msingi na kuwatesa.
Pia soma: Pre GE2025 - Masheikh 12, waliokaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi waachiwa huru
Katika taarifa ya jana tumeeleza madhila yaliyowakuta baadhi yao ikiwa ni pamoja na kupoteza wenziwao na wengine kufia gerezani.
Hivi viongozi wetu wanashindwa kuvihoji vyombo vyao juu ya matukio haya yaliyo kinyume na sheria na utu.
Hivi inaingia akilini mzee Sleiman Ulatule miaka 90, achukue familia yake ya zaidi ya watu 7, waende kuvamia kituo cha polisi?
Katika wasifu huo watawala watakua na uso gani wa kusimama mbele ya wananchi wakiwemo Waislamu kuwaomba ridhaa ya kuongoza nchi.
Ni zuzu wa kiasi gani atakayewapa ridhaa watawala wasio zingatia haki za binadamu, uhuru na haki za kuishi zinazolindwa na Katiba ya nchi.
Aidha tutumie fursa hii kuwaomba Waislamu wote nchini kutumia fursa hii ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuomba dua makhsusi na kumkabidhi Mwenyezi Mungu Mtukufu atoe hukumu kwa haya wanayotendewa wanyonge nchini Tanzania.
Atakayeacha kuomba dua hii maana yake ameridhia haya wanayotendewa binadamu wenzake wasio na hatia yoyote.
Shura ya Maimamu Tanzania
Lazima ni watu hatari hao. Naangalia tu watu wanavyodemka hapa.Ukiona hivi ujue jamaa ni very dangerous, hawana sababu ya kuwafanyia hivi kama sio imminent threat to national security .
Magufuli hawakuwahi kuwasingizia lolote Hawa masheikh.Wakuu, mambo yameamka huku
====
Jana Machi 4, 2025 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Kirekiano iliwaachia huru MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi.
Baada ya hukumu hiyo Shura ya Maimamu Tanzania ilitoa taarifa ya kuachiwa huru Masheikh hao.
Wakati taarifa hiyo ikitolewa Masheikh hao walikua wako chini ya itifaki za watu wa usalama na ndugu walitakiwa kwenda kituo cha Polisi cha stakishari kwaajili ya kukamilisha itifaki hizo.
Hata hivyo majira ya magharibi ndugu walipofika stakishari waliambiwa masheikh hao hawajafikishwa pale.
Aidha leo asubuhi ndipo zilipopatikana taarifa kuwa ndugu Masheikh hao wapo katika gereza la Ukonga walilpokuwapo awali.
Ni wazi baada ya Mahakama kuwaachia huru Masheikh hao, watu wa usalama walitumia mbinu mbalimbali wakafanikiwa kuwakamata tena na kuwafungulia mashtaka mapya bila ya ndugu zao kufahamu.
Kwa hakika tukio hili linadhihirisha jinsi ambavyo serikali iliyopo madarakani isivyojali haki za binadamu. Watu hawa wamekamatwa toka 2015, mpaka leo serikali imeshindwa kuthibitisha tuhuma dhidi yao lakini inaendelea kuwanyima haki za msingi na kuwatesa.
Pia soma: Pre GE2025 - Masheikh 12, waliokaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi waachiwa huru
Katika taarifa ya jana tumeeleza madhila yaliyowakuta baadhi yao ikiwa ni pamoja na kupoteza wenziwao na wengine kufia gerezani.
Hivi viongozi wetu wanashindwa kuvihoji vyombo vyao juu ya matukio haya yaliyo kinyume na sheria na utu.
Hivi inaingia akilini mzee Sleiman Ulatule miaka 90, achukue familia yake ya zaidi ya watu 7, waende kuvamia kituo cha polisi?
Katika wasifu huo watawala watakua na uso gani wa kusimama mbele ya wananchi wakiwemo Waislamu kuwaomba ridhaa ya kuongoza nchi.
Ni zuzu wa kiasi gani atakayewapa ridhaa watawala wasio zingatia haki za binadamu, uhuru na haki za kuishi zinazolindwa na Katiba ya nchi.
Aidha tutumie fursa hii kuwaomba Waislamu wote nchini kutumia fursa hii ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuomba dua makhsusi na kumkabidhi Mwenyezi Mungu Mtukufu atoe hukumu kwa haya wanayotendewa wanyonge nchini Tanzania.
Atakayeacha kuomba dua hii maana yake ameridhia haya wanayotendewa binadamu wenzake wasio na hatia yoyote.
Shura ya Maimamu Tanzania
Dah!, imeniuma kama vile ni ndugu zangu wa damu, Inshallah Mungu atawatia adabu wote wanaohusika kupola haki zao hao Watanzania wenzetu, walishakaa jela miaka kumi? nikweli?Wakuu, mambo yameamka huku

Sasa wewe unaupenda uislam kumzidi Mama Samia Suluhu?Acheni chuki zenu. Huu ni uhuni wa serikali. Kama ni hatari kwa nini wasingekutwa na hatia na wanakaa tu gerezani? Angalia sana hujui kesho ni nini kinakuja kwako.
Magaidi hayo,serikali sio wajinga kuwashikiria tena.Wakuu, mambo yameamka huku
====
Jana Machi 4, 2025 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Kirekiano iliwaachia huru MASHEIKH 12, walio kaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi.
Baada ya hukumu hiyo Shura ya Maimamu Tanzania ilitoa taarifa ya kuachiwa huru Masheikh hao.
Wakati taarifa hiyo ikitolewa Masheikh hao walikua wako chini ya itifaki za watu wa usalama na ndugu walitakiwa kwenda kituo cha Polisi cha stakishari kwaajili ya kukamilisha itifaki hizo.
Hata hivyo majira ya magharibi ndugu walipofika stakishari waliambiwa masheikh hao hawajafikishwa pale.
Aidha leo asubuhi ndipo zilipopatikana taarifa kuwa ndugu Masheikh hao wapo katika gereza la Ukonga walilpokuwapo awali.
Ni wazi baada ya Mahakama kuwaachia huru Masheikh hao, watu wa usalama walitumia mbinu mbalimbali wakafanikiwa kuwakamata tena na kuwafungulia mashtaka mapya bila ya ndugu zao kufahamu.
Kwa hakika tukio hili linadhihirisha jinsi ambavyo serikali iliyopo madarakani isivyojali haki za binadamu. Watu hawa wamekamatwa toka 2015, mpaka leo serikali imeshindwa kuthibitisha tuhuma dhidi yao lakini inaendelea kuwanyima haki za msingi na kuwatesa.
Pia soma: Pre GE2025 - Masheikh 12, waliokaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma za Ugaidi waachiwa huru
Katika taarifa ya jana tumeeleza madhila yaliyowakuta baadhi yao ikiwa ni pamoja na kupoteza wenziwao na wengine kufia gerezani.
Hivi viongozi wetu wanashindwa kuvihoji vyombo vyao juu ya matukio haya yaliyo kinyume na sheria na utu.
Hivi inaingia akilini mzee Sleiman Ulatule miaka 90, achukue familia yake ya zaidi ya watu 7, waende kuvamia kituo cha polisi?
Katika wasifu huo watawala watakua na uso gani wa kusimama mbele ya wananchi wakiwemo Waislamu kuwaomba ridhaa ya kuongoza nchi.
Ni zuzu wa kiasi gani atakayewapa ridhaa watawala wasio zingatia haki za binadamu, uhuru na haki za kuishi zinazolindwa na Katiba ya nchi.
Aidha tutumie fursa hii kuwaomba Waislamu wote nchini kutumia fursa hii ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuomba dua makhsusi na kumkabidhi Mwenyezi Mungu Mtukufu atoe hukumu kwa haya wanayotendewa wanyonge nchini Tanzania.
Atakayeacha kuomba dua hii maana yake ameridhia haya wanayotendewa binadamu wenzake wasio na hatia yoyote.
Shura ya Maimamu Tanzania
Wakuu, mambo yameamka huku

Magaidi hayo,serikali sio wajinga kuwashikiria tena.
Ili kupunguza hoja na kelele kama hizi magidi yanatakiwa ya malizwe kimya kimya tu.
Ili kuondoa kero za wafia dini na wapenda ugaidi kulialia mitandaoni