Japo siungi mkono vitendo vya kigaidi..lakini haki ni lazima itendeke kwa hawa masheikh wa uamsho...umesema kuwa Obama ni muislam sio kweli...na hili yeye mwenyewe alishatolea ufafanuzi, kuhusu kulipuliwa vituo vay polisi na mambo ya kibiti...yalitokea wakati hawa Masheikh wakiwa tayari mahabusu na hakuna ushahidi kuwa walihusika..kuhusu yule gaidi Mzanzibar alishatolewa siku nyinyi kule Guantenamo bay an alifikishwa mahakamani kule Marekani...so pamoja na vita kali dhidi ya Ugaidi,bado Marekani pia wanaheshimu haki ya hawa "magaidi" kuhukumiwa kwa haki za kimahakama!