Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

Basi wacha ujuha kuzungumzia yanayotokea msumbiji kama huyajui.

Lengine ikiwa mama yako hajakufundisha adabu wakati mimi nilikuuliza bila ya kukutajia mwana wa familia yako hata mmoja mwambie akufundishe adabu. Jinsi ya kuulizwa na kujibu alichoulizwa kama hajui anyamaze kimya.
Heshima kwako mkuu👌🏿😆😆😆
 
Kesi ya Uhaini ya miaka ya 1980's iliendeshwa wazi, kwa hoja za mahakamani, waliohukumiwa kufungwa walifungwa maisha na walioachiwa waliachiwa.
Sasa kama hao viongozi wa UAMSHO ni magaidi au Wahaini, na kama Ushahidi usio na shaka upo kwa nini kesi yao Ipigwe Kalenda miaka nane, Je wanawakwa ndani miaka yote hiyo kwa mujibu wa sheria ipi ya nchi?
Ndugu, kuna vitu huwa vikifanyika vinahitaji majibu ya upesi pasi kuangalia utamuumiza nani kisheria ama kihaki hizo mnaita za binadamu. Hizo nchi mnazoziita za kidemokrasia ndiko kwenye umafia wa kutosha sana juu ya matukio ya namna hii. Inapokuwa ni swala linalotishia Usalama wa nchi, huwa haina compromise wala sheria kufuatwa.
 
Ndugu, kuna vitu huwa vikifanyika vinahitaji majibu ya upesi pasi kuangalia utamuumiza nani kisheria ama kihaki hizo mnaita za binadamu. Hizo nchi mnazoziita za kidemokrasia ndiko kwenye umafia wa kutosha sana juu ya matukio ya namna hii. Inapokuwa ni swala linalotishia Usalama wa nchi, huwa haina compromise wala sheria kufuatwa.
Wewe si ajabu unaweza kutetea matendo ya wasiojulikana iwapo watu hao watajustify matendo yao ya kidhalimu kwa kuwasingizia wahanga wao ugaidi na uhaini.

Muite mbwa jina baya kisha muue ni mbinu ya kale ya kutenda dhulma
 
Hunijui ndio maana unaniuliza haya maswali ambayo nimechagua kuto kuyajibu.

Mark my words, iwe miaka 1000 basi uamsho watatoka gerezani na atarudi kuishi na familia zao.

Historia inaonyesha hivyo. Tangu enzi za mitume, baada ya kipindi cha mitume na hata juzi juzi tu wakati wa kina Mandela.

Besides, ni sisi tu ndio tunajipa pressure lakini waliopata wasaa wa kuwatembelea uamsho gerezani wakiamua watatueleza namna ambavyo wametulia nafsi zao wakiacha kadari ya Allah ichukue nafasi yake.

Uamsho ni aina ya watu ambao wameelewa haswa maana ya Qadar na wapo wanamtumikia mola wao popote walipo. Wakijua fika kwamba ukiishi sana basi ni miaka 60-70 halafu unatembea. Wako wapi wafalme na maraisi waliokuwa wababe wakiogopewa Leo hii?? Futi sita ndani ya tumbo la ardhi.

Walikuwepo waliokuwa wanakaa ikulu na kulindwa na mabunduki kina Magufuli na Kijazi, wawapi Leo?? Kwahiyo Uamsho wapo, fikra zao zitaishi katika mioyo ya Wazanzibari daima dumu.

Kila la kheri mkuu na karibu tena Mtendeni uje ununue TV upeleke kwenu Kimbiji.
Jamaa wakienda kumtembelewa Wanaagiza masahafu na misala tu mana washapata wafuasi wengi wa kuwaingiza kwenye dini ya Islam.

Hio nayo ni kheri pia.

Na msimamo wao upo palepale kwa wanachokidai. Hata kama watabaki jela milele.
 
Mpango nae ni muislam JPM nae alikua muislam
Ligi za kijinga... Hao jamaa wako gerezani tangu enzi za awamu ya 4....
Ambapo viongozi wakuu walikuwa waislamu.
Kwa ujumla wapo kizuizini kwa maslahi mapana ya nchi
 
Mkuu misimamo ya wale watu kuwa hawataki wanasiasa Zanzibar, si chadema wala CCM, na kama watakubali kuachana na misimamo yao ile na basi wanaweza toka jela, ila masheikh hawakuamini Maalim Seif wala Shein
Magaidi hao
 
Kama Kweli Kosa Lao Ni Kutaka Zanzibar Huru Suala Hilo Ni Hatarii Aisee
 
Kama Kweli Walikuwa Wanahitaji Uhuru Wa Zanzibar Basi Hatari
 
Back
Top Bottom