Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

Umemaliza Kila kitu
Ahsante
 
Jee wale waliokuwa wanaenda kugongewa usiku usiku na kukamatwa kisha kupandishwa ndege na kupelekwa magereza ya bara hadi Leo nao pia muamsho!?

Kuna mengi yamejificha. Mungu ndie Ajuae.

Maana kama wana hatia kesi zao zingesikilizwa na hukumu kutolewa why all these years bila kesi kusikilizwa wala updates zozote kutolewa hadharani!!?

Inafikirisha.

Salmin aliwaweka ndani wapinzani kwa visingizio vya ugaidi miaka zaidi ya mitatu alipoingia Shein tu madarakani aliwachia huru. Why not hawa masheikh? Viongozi na watawala wanapishana kwa nini hawaachiwi huru au hata kesi zao kusikilizwa!!???
 
Ndio wao walikuwa wanaleta itikadi kali za kiislamu
😂wakifanyaga huu upuuzi, ma sheikh wenzao huwa wanajitokeza na kuukana hivyo mchuma janga hula na wa kwao
tena wakati mwingine unakuta ma sheikh wenzao wanawauza serikalini, watu hawataki upuuzi kabisa😅. unaropoka msikitini unafuatwa kesho yake
 
Kwa nini sasa!!?? Izo silaha mzito kwa ajili ya nini?
1.kuchukua tahadhari, wanaamini linaweza kutokea kundi likataka kuwauwa hao ma sheikh au likatokea kundi likataka kuwadhuru askari
2.ni kama wanaonesha tu onyo kwa wengine
 
Vizuri.

Wazidi kuwasilimisha watu kuingia katika uislam. Wanaagiza majuzuu na msahafu kwa wingi. Hasa kipindi hiki cha Ramadhan.

Tabarakallah
Tatizo mpo shortsighted Sana na maisha ya kijamii n kuheshimu dini za wengine.
Kama mnaona wakikaa huko jela wanaeilimisha watu zaidi acheni kubwatuka kwamba waachiwe
 
Tatizo mpo shortsighted Sana na maisha ya kijamii n kuheshimu dini za wengine.
Kama mnaona wakikaa huko jela wanaeilimisha watu zaidi acheni kubwatuka kwamba waachiwe
Waache tu waendeee kukaa.

Na wacha wanotetea waendeee kutetea.

Kama umebahatika kuwaangalia hio jana na ukaona sura zao ungehisi kama wapo happy kwa sababu fulani ingawa jela Sio nzuri
 
Sababu:
1. Walitaka kuvunja muungano ndio maana ya uamsho.
2. Zanzibar iwe na utawala wa sharia badala ya sheria ( mtu akiiba akatwe mkono)
3. Kuchochea vurugu
4. Inasemekana kati ya hao masheikhe kuna vibaraka wa waarabu na wangefanikisha tu issue ya kuvunjaa muungano basi wanarudi kuchukua kisiwa chao.
Mambo ni mengi na kesi yao ni ngumu sana ila kwenye media huku watu wanatetea vitu wasivyovijua
 
Kumbe kuna mengi, basi waendelee kuwa huko tu....
 
Their issue is very complicated..but sababu kubwa ni kwamba jamaa walikuwa ni tishio kwa ustawi wa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar...na kwa kipindi kile walikuwa wanatumia jina la 'Dubwasha linaloitwa Muungano'. Na walikuwa tishio kwa Muungano kwa sababu walikuwa wanapigania Zanzibar yenye mamlaka kamili..Hakika walifanikiwa katika kuamsha fikra za Wazanzibari wengi na ilibaki kidogo tu Zanzibar ikomboke, yaani sijui kwanini Mungu aliwapa mtihani wa kudakwa mapema vile, laiti Allah angeruhusu wapate walau miezi mitatu tu ya hamasa kabla ya kukamatwa kwao, basi leo hii tungekuwa na Zanzibar yetu yenye mamlaka kamili na Tanganyika inayoonekana iliyojificha kwenye shuka la Muungano.

Kiukweli hatuzijua nafsi zao kiundani, ila hawakuwa na nia nyengine ovu ukiachia mbali kutaka kuikomboa Zanzibar kutoka katika mikono ya Tanganyika. Na ndio maana utakuta mpaka kesho kesi ya ugaidi waliyopewa haina ushahidi... Na hata kwa upande wa Zanzibar ambako nako walikuwa na mashtaka kadhaa ya Kufanya vitendo vinavyoweza kuleta uvunjifu wa Amani, mashtaka hayo yalifutwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar - Vuga, mbele ya Jaji Fatma Hamid...kwa kuwa siku zilishakuwa nyingi na mashahidi hawapelekwi mahakamani na wakati mwengine washtakiwa hapelekwi Zanzibar kuhudhuria kesi yao, kisa wapo Bara kwa kesi yao ya ugaidi iliyopo Kisutu...mheshimiwa Jaji akawaambia msinitanie.nafuta kesi dhidi yao, bakini nao nyinyi mfaidi.
 

Ila Wewe unaota ndogo za abunuwasi. Amini nikuambiayo, Upo kwenye fantasy.

HAKUNA WA KUVUNJA MUUNGANO Mark my words. Hayo maneno yako yameanza Tangu hujazaliwa na utaondoka ukiuacha muungano unaendelea.

Tatizo unaishi kwenye Fantasy.
 
Mkuu kuna mengi sn juu ya ishu ya hawa jamaa ila sitapenda kuyaandika hapa kwa kuheshimu iman za watu wengine. ila jamaa walikuwa htr mnoo nakumbuka siku waliofanya maadamano mie nilikuwa michenzani natokea darajani, dah walileta noma sn aisee walifunga Barabara na wafuasi walichoma moto matairi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…