Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?


Kama wamejitia najisi wataponaje? Kama wanawasiliana na kusaidiwa na watu ambao Dunia nawaonea hatari utawasaidiaje?
 
Duuh,kumbe.ni hatari

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Aisee kumbe ipo hivi acha waendelee kusota jela waliyachoka maisha ya mtaani
 
Aisee kumbe ipo hivi acha waendelee kusota jela waliyachoka maisha ya mtaani
Mara zote huwa tunaandika hapa hawa watu ni hatari ila kuna watu hawataki kuelewa kabisa kila mara wanarudia mada kama hizi,

Huwa nashangaa sana na kubakia kusikitika tu.

Wewe jiulize ni Marais wangapi wamekuja na hakuna anayetaka kuwaachia?? Huu mjadala ufungwe watu waache serikali ifanye kazi yake.
 
Mara nyingi Hawa watu huwa wanatumika kisiasa na baadhi ya mataifa kutoka middle East huku wakiwa wanajificha katika kivuli Cha dini , watu wengi haelewi hilo wanajikuta wanawaunga mkono tu nakutaka waachiwe .

Nikweli nakubali kwamba serikali ya Tanzania Kuna wakati huwa inafanya uonezi na kuonea baadhi ya watu kwa kuwabambikia kesi , ila kwa watu hawa Hapana aisee wanapaswa kubaki huko huko jela maana walikuwa Wanataka kuvuruga amani ya Nchi
 
Fujo kama hizi kwa zanzibar mbona hata siku za chaguzi za kisiasa huwepo tena tangu 1995. Na nyengine ni zaidi ya hizo ulosema umeziona za muamsho
 
Hii kesi ya hawa mashekhe ni kesi ya kimataifa sio rahisi kama mnavyodhanini ndugu zanguni!
Watu hawajui huwa, wanaongea ongea tu ,

Niliwahi kusikia story kuwa hata sababu ya Maalim seif kutangulia kuzimu ime sababishwa na hao hao alipokwenda chato na kukutana na jiwe 1 ya agenda yao kubwa ilikuwa ni kuwaachia hao watu wa uamsho ,na jiwe akawa amekubali hilo , deep state ikaona jamaa wanataka kuvuka mipaka wakaingilia kati
 
Hao watu ni hatari ndugu acha kabisa waone hivyo hivyo mtandao wao ulikuwa mkubwa sana na bado hadi sasa kuna waliokimbia wanatafutwa hao wanaolaumu eti serikal inawaonea hawajui kitu pole zao.
 
Ushahidi wa 1 kwa 1 inaweza ikawa Mimi na wewe ndio hatuna lakini deep state wanao !? Kupitia Mawasiliano Yao etc
 
Ndio watulizwe sasa maana hakuna namna wameshindwa kuishi uraiani
 
😅😅jiwe alijifanya ana akili sana! na kwa akili yake ilivyomtosha angewaachia kweli.
maana yeye na mabeberu alionyesha hawapikiki chungu kimoja.
hapo ndipo tungejionea mpasuko wa muungano, na Tanganyika kugawanyika kwa ubaguzi na upendeleo wa kikanda.
 
Kabisa. JK alivyopenda kuwa fair wasingeliwekwa ndani. Kuna danger line walivuka.
Wapo wanaojua ila wamekaa kimya
Fuatilia kilichotokea kwenye hizi nchi hadi zikafikia kugawana vipande viwili
1. Sudan
2. Somalia
Kisha fuatilia majaribio yaliyofeli ya watu kujitenga kwenye nchi hizi
1. Nigeria jimbo la Beni
2. Jamhuri ya kati
3. Kenya jimbo la Mombasa
Ukiangalia kwa jicho la tatu unaweza kuona mpangaji wa haya yote ni kikundi kimoja ambacho hicho kimejificha chini ya uamsho wa Zanzibar.
Na Znz ilivyo ndogo wakiachiwa dakika sifuri sumu imesambaa.
 
Mozambique ni mfano halisi. Wale wanaotaka kusambaza dini kwa kuua watu wengine wanasambaza dini ya aina gani? Ule ni ushetani mtupu. halafu wengine wanasema hawa watu wanaonewa. nani kasema hatuwezi kuishi pamoja bila kuuana kama tuna dini tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…