Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani
Huyo dikteta ni yupi unaye mzungumzia nahisi utakuwa unamzungumzia JPM lakini walikamatwa wakati wa kikwete.
Amini samia ameweka udini katika hili
Wamekamatwa Zanzibar na rais mzanzibari na sasa wameachiwa na rais mzanzibari pia.
 
Nyie warabu weusi ni shida Sana,Mungu akipenda huu muungano uvunjike hauna faida kwa wabara,ajira zenyewe tu Kama za ualimu mpaka tuwaajiri

Kweli kabisa hao warabu koko wamezidi kulia lia Sana na huyo goi goi wao aliyepo madarakani ebu watuachie nchi yetu Tanganyika waendeleze na siasa zao za maji taka Mara sisi waunguja Mara sisi wapemba tuna mafuta na kudumisha mila na desturi za kiarabu!huku wakila mlo mmoja kwa ck pengine na kushindia boflo! yahani wabunge tuwalipe sisi mshahara na kiinua mgongo watoto wao watumie Kodi zetu kuingia chuo kikuu ajira waajiriwe kwetu kwao sie wabara haturuhusiwi kuajiriwa Mara Zanzibar inaidai Tanganyika cjuhi sh ngpy lkn Zanzibar haidaiwi kwenye deni la taifa
Mtalalamika sana, Mwenye Mpini sahivi mzanzibari Tanzania na Zanzibar.
 
Wamekamatwa Zanzibar na rais mzanzibari na sasa wameachiwa na rais mzanzibari pia.
roho inawauma. Wakati ule waliona Cuf imewakaba koo mkaamua kubambikia kesi watu. Hata hivyo CUF iliendelea kuwagaragaza
 
Huyu DPP wa sasa amewezaje?

These guys the so called UAMSHO hao DPP wengine walikwama wapi kumaliza Kesi zao?

Nakumbuka Prof Kabudi alishawahi kuliambia Bunge kuwa jamaa Wana "Kesi NZITO SANA" enzi za Mwendazake hizo
headless chicken wafuasi wa mwendazake
 
roho inawauma. Wakati ule waliona Cuf imewakaba koo mkaamua kubambikia kesi watu. Hata hivyo CUF iliendelea kuwagaragaza
Aliyewakamata ni Shein na kumletea Kikwete, sasa kama roho kuuma labda Kikwete maana nasikia alivyoachiwa Babu Seya yeye alimaind na sasa masheikh wameachiwa.
 
Aliyewakamata ni Shein na kumletea Kikwete, sasa kama roho kuuma labda Kikwete maana nasikia alivyoachiwa Babu Seya yeye alimaind na sasa masheikh wameachiwa.
chama kile kile shein alishinikizwa. Tishio la CUF na maalimu Seif ndio chanzo cha yote.
 
Hv kuhoji muungano ni kueneza chuki co????
Msiione haki kwa upande mmoja tu kutaka nyie mpewe zaidi ya wengine, huo ni ubinafsi, aina ya mahubiri mliyotoa yalihamasisha chuki zilizowaumiza wengine ambao nao wana haki zao, baada yenu kuwekwa ndani hali ikatulia.

Mkajifunze kuheshimu haki za wengine kama nyie mnavyotaka haki zenu ziheshimiwe, msijione bora zaidi ya wengine mpaka kuwasababishia maumivu ya aina yoyote.

Mmefurahi kutoka jela, ila mjue sasa mna jukumu la kulinda raia wengine wasio wa imani kama yenu, muache mihemko, fanyeni yenu muwaache wengine wafanye yao kwa uhuru wao, hii Tanzania ni yetu sote, hakuna alie juu ya mwingine wala hatakuwepo.
 
Back
Top Bottom