Wamekamatwa Zanzibar na rais mzanzibari na sasa wameachiwa na rais mzanzibari pia.Huyo dikteta ni yupi unaye mzungumzia nahisi utakuwa unamzungumzia JPM lakini walikamatwa wakati wa kikwete.
Amini samia ameweka udini katika hili
Mtalalamika sana, Mwenye Mpini sahivi mzanzibari Tanzania na Zanzibar.Nyie warabu weusi ni shida Sana,Mungu akipenda huu muungano uvunjike hauna faida kwa wabara,ajira zenyewe tu Kama za ualimu mpaka tuwaajiri
Kweli kabisa hao warabu koko wamezidi kulia lia Sana na huyo goi goi wao aliyepo madarakani ebu watuachie nchi yetu Tanganyika waendeleze na siasa zao za maji taka Mara sisi waunguja Mara sisi wapemba tuna mafuta na kudumisha mila na desturi za kiarabu!huku wakila mlo mmoja kwa ck pengine na kushindia boflo! yahani wabunge tuwalipe sisi mshahara na kiinua mgongo watoto wao watumie Kodi zetu kuingia chuo kikuu ajira waajiriwe kwetu kwao sie wabara haturuhusiwi kuajiriwa Mara Zanzibar inaidai Tanganyika cjuhi sh ngpy lkn Zanzibar haidaiwi kwenye deni la taifa
roho inawauma. Wakati ule waliona Cuf imewakaba koo mkaamua kubambikia kesi watu. Hata hivyo CUF iliendelea kuwagaragazaWamekamatwa Zanzibar na rais mzanzibari na sasa wameachiwa na rais mzanzibari pia.
headless chicken wafuasi wa mwendazakeHuyu DPP wa sasa amewezaje?
These guys the so called UAMSHO hao DPP wengine walikwama wapi kumaliza Kesi zao?
Nakumbuka Prof Kabudi alishawahi kuliambia Bunge kuwa jamaa Wana "Kesi NZITO SANA" enzi za Mwendazake hizo
Wamekufa hadi mitume sasa utasemaje kifo ni adhabu?mnafiki mkubwa wewe. Jiwe ametesa sana watu ndio maana Mungu kampa adhabu ya kifo. Bado nyie wahuni
kutokana na matendo yake ya kishetaniWamekufa hadi mitume sasa utasemaje kifo ni adhabu?
Aliyewakamata ni Shein na kumletea Kikwete, sasa kama roho kuuma labda Kikwete maana nasikia alivyoachiwa Babu Seya yeye alimaind na sasa masheikh wameachiwa.roho inawauma. Wakati ule waliona Cuf imewakaba koo mkaamua kubambikia kesi watu. Hata hivyo CUF iliendelea kuwagaragaza
Yeyote anayepigania haki kwa wanadamu hata kama ni mcheza mpira aungwe mkono.Wao ni masheikh au mwanaharakati au wapigania uhuru?
Achana na huyo mwehu akili yake ndipo ilipoishiaWamekufa hadi mitume sasa utasemaje kifo ni adhabu?
chama kile kile shein alishinikizwa. Tishio la CUF na maalimu Seif ndio chanzo cha yote.Aliyewakamata ni Shein na kumletea Kikwete, sasa kama roho kuuma labda Kikwete maana nasikia alivyoachiwa Babu Seya yeye alimaind na sasa masheikh wameachiwa.
Ndio nimekwambia kama kifo ni adhabu basi hata mitume wamepitia hiyo adhabu.kutokana na matendo yake ya kishetani
Haki haipotei bali huchelewa.
Alishinikizwa na nani?chama kile kile shein alishinikizwa. Tishio la CUF na maalimu Seif ndio chanzo cha yote.
na wenye roho mbaya kama nyinyi. Hata Sabaya alikuwa na kibri kama nyie sasa hivi kakonda kama ana ngoma vile. Endeleeni kucheza na uhai wa watu wengine.Alishinikizwa na nani?
Yeyote anayepigania haki kwa wanadamu hata kama ni mcheza mpira aungwe mkono.
Msiione haki kwa upande mmoja tu kutaka nyie mpewe zaidi ya wengine, huo ni ubinafsi, aina ya mahubiri mliyotoa yalihamasisha chuki zilizowaumiza wengine ambao nao wana haki zao, baada yenu kuwekwa ndani hali ikatulia.
Mkajifunze kuheshimu haki za wengine kama nyie mnavyotaka haki zenu ziheshimiwe, msijione bora zaidi ya wengine mpaka kuwasababishia maumivu ya aina yoyote.
Mmefurahi kutoka jela, ila mjue sasa mna jukumu la kulinda raia wengine wasio wa imani kama yenu, muache mihemko, fanyeni yenu muwaache wengine wafanye yao kwa uhuru wao, hii Tanzania ni yetu sote, hakuna alie juu ya mwingine wala hatakuwepo.
kwa hiyo na baregu ametesa watu sana?mnafiki mkubwa wewe. Jiwe ametesa sana watu ndio maana Mungu kampa adhabu ya kifo. Bado nyie wahuni
BAKWATA ni genge la wasaka fursa tupu
Naona unasubiria meli ukiwa airportNasubiri taarifa rasmi ya BAKWATA, au wao wanahusika na maswala ya kutangaza mwezi tu! Hili haliwahusu?
Walikua wanatoa mahubiri gani chief ?.Kikwete mpole sana, ingekuwa ni mimi kulingana na yale mahubiri yao ningewala vichwa ASAP sina mchezo na mtu anayehatarisha uhai wa watu wengine