Masheikh wajitokeze kukemea vitendo vya Sheikh Mwaipopo kumiliki vikundi vya mapigano

Masheikh wajitokeze kukemea vitendo vya Sheikh Mwaipopo kumiliki vikundi vya mapigano

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
 
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.

Je kama wao ndiyo wamemtuma kusema au wameshirikiana pamoja kuunda makundi hayo utategemea watoke kukemea?
 
Masheikh wanaoshindwa kuwatetea Masheikh wenzao wakibambikiwa kesi ndio waje wamkemee huyo Mpumbavu.

Ukweli usemwe hapa Bongo Waislamu wana bahati mbaya sana ya kupata viongozi wachumia tumbo.

Nawaza tu unaanzaje kumshawishi Father Kitima atoke aongee usengerema kama wa huyo Sheikh!!
 
Kama wasipojitokeza kesho kumkemea na kulaani matendo yake watu wengi wataamini hivyo.

Mkuu mpaka sasa ni kama wapo naye, walipaswa kutoka na kumkemea mapema sana ile siku ya kwanza.

Inashangaza sana kwa sababu mufti mkuu ni mwenyekiti wa kikundi fulani cha viongozi wa dini, sijui kinaitwa "maridhiano sijui amani...." ambacho huwa kiko mstari wa mbele kukemea watu fulani fulani tu hasa wanaokosoa serikali na chama tawala.
 
CCM kipindi cha miaka ya 90 cuf inapamba moto walisema udini na sasa kipindi cha chadema washasema ukabira mpaka udini.

Hapo utajua muharibu nchi ni CCM.yupo kufanya lolote kutumia kugawa hata nape alisema
 
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.

Tujiulize tu kwamba haya makundi ya sheikh Mwaipopo ameyaunda au yameundwa kwa ajili ya kuzuia wananchi wasiandamane tarehe 7 July kwa kutoa vitisho au vipi?

Ni lini huyo sheikh aliyanzisha makundi hayo, kwa lengo gani hasa, kwa kibali cha nani?

Kama ameyaanzisha hayo makundi kwa ajili ya kutisha wananchi wasiandamane tarehe 7 July na pengine wakafanikiwa kuzuia hayo maandamano je baada ya hapo makundi hayo yatakuwa na majukumu au kazi gani kwenye taifa letu?

Ni kama vile taifa letu kwa sasa linaongozwa na viongozi ambao sijui wakoje!
 
Shida ya Muslims wengi muda wote wanawaza na kutamani kuona hakuna dini nyingine duniani zaidi yao tu. So inatokea fursa ya kuonesha hitaji hilo kwa uwazi na wanakuwa na viongozi wa mlengo wao kamwe hawezi kusita kuonesha matamanik yao hadharani. Bora wangekuwa wanafanya harakati zao under ground. So siku akiwa kiongozi wa dini tofauti na wao itakuwaje. Je watakuwa pamoja na hiyo serikali kama sasa?
 
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.

Kwani toka lini Mwaipopo ni Shekhe? Au kuwa shekhe ni kitu rahisi hivyo?
 
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
Kauli ya Mwaipopo ni kauli ya BAKWATA na ni kauli CCM ndiyo maana vyombo vya dola vyote vimenywea na mfadhili wa kikundi hiki cha Mwaipopo ni Prince Abdul.
 
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
Kumbukumbu zangu ni kuwa huyu siyo sheikh wa kwanza kutishia watu. Kuna waliosema watakata vichwa vya watu na hawakukemewa.

Pengine inabidi pia kukumbusha wewe kuwa Shikh anataka "AMANI" kama inavyosisizwa na hao BAKWATA; sasa wewe unataka wakemee mtu anayetengeneza AMANI?

Wakati mwingine tuwe wakweli kwa kuyasema mambo yalivyo bila ya kujifanya hatuyajui.
Huo ndio unafiki wenyewe tunaowalaumu waTanzania wengi kuwa nao.
 
Hii dini imeonesha udhaifu mkubwa sana ktk awamu hii.
Hapana, siyo dini, ni kundi la watu wanaotumia hiyo dini wakiwa na ajenda ya siku nyingi sana hapa Tanzania.

Halafu sote tunajifanya hatujui mzizi wa tatizo hatuujui; wakati tukijuwa pamekuwepo na kundi hilo toka enzi za uhuru wa taifa hili.

Watu wanataka waelezwe vipi ndiyo wajue kuwa tatizo limekuwepo toka siku nyingi.

Sasa wamejikusanya, na mwanya mzuri umepatikana; wanatekeleza lengo. la muda mrefu kwa sababu hali inawaruhusu kufanya hivyo.
 
Kama wasipojitokeza kesho kumkemea na kulaani matendo yake watu wengi wataamini hivyo.
Wakifanya igizo la kukemea utaridhika sana! EnHEEEeeeeh!

Lakini ninakusoma katikati ya mistari, nikikumbuka ile mada yako nyingine ya hivi karibuni inayoendana na hii, lakini kwa upande wa pili.
kuna watu mnashangaza sana kwa misimamo yenu juu ya taifa hili.
 
Back
Top Bottom