Masheikh wajitokeze kukemea vitendo vya Sheikh Mwaipopo kumiliki vikundi vya mapigano

Masheikh wajitokeze kukemea vitendo vya Sheikh Mwaipopo kumiliki vikundi vya mapigano

Wakifanya igizo la kukemea utaridhika sana! EnHEEEeeeeh!

Lakini ninakusoma katikati ya mistari, nikikumbuka ile mada yako nyingine ya hivi karibuni inayoendana na hii, lakini kwa upande wa pili.
kuna watu mnashangaza sana kwa misimamo yenu juu ya taifa hili.
Wakifanya ingizo la kukemea angalau litapunguza hatari ya migawanyiko ya kidini juu ya hii ya kisiasa tuliyo nayo sasa.
 
Wakifanya ingizo la kukemea angalau litapunguza hatari ya migawanyiko ya kidini juu ya hii ya kisiasa tuliyo nayo sasa.
Migawanyiko ya kidini ipo toka uhuru; na baadhi ya mada ulizoanzisha wewe zinaeleza hivyo.Taratibu unaanza kueleweka unaposimama..
 
Wajitokeze wakati na wao wamelishwa pilau na kupewa elfu10 nchi ina ******* wengi sana
 
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
Ndugu hao ma sheikh huwatakii mema. Mwaipopo kazi anayoifanya ni ya CCM na serekali yake, yahani kaagizwa na akina Mwigulu, Samia,....kufanya anayoyafanya.
Atakaye mkemea atakuwa anakemea CCM na serekali yake na atatekwa na pengine kupotezwa.
Kuamua kukaa kimya naona wameamua kwa busara.
 
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
Jinsi chadema mnavyopiga mikwara na wanaharakati wenu wa mitandaoni,ndivyo hivyo hivyo na nyie mnavyopigwa mikwara,mpaka mnatoa sauti ya upole dadek 😀😀😀
 
Masheikh wanaoshindwa kuwatetea Masheikh wenzao wakibambikiwa kesi ndio waje wamkemee huyo Mpumbavu.

Ukweli usemwe hapa Bongo Waislamu wana bahati mbaya sana ya kupata viongozi wachumia tumbo.

Nawaza tu unaanzaje kumshawishi Father Kitima atoke aongee usengerema kama wa huyo Sheikh!!
Kwani kitima sio mchumia tumbo?
 
Ingekuwa vyema baadhi ya masheikh hasa wa BAKWATA wajitokeze hadharani kukemea, kulaani na kujitenga na jambo analofanya sheikh Mwaipopo la kukusanya makundi ya kupambana na kufanya mapigano.
Huyu Sheikh Mwaipopo ni sawa na Fr Charles Kitima tu. Rejea Newton's third law of motion, "whenever one object exerts a force on a second object, the second object exerts an equal and opposite force on the first"
 
Nafurahi kwa uelewa wako juu ni nini kinaendelea! Kwenye mieleka tunaita (Tambo)
 
Hapana, siyo dini, ni kundi la watu wanaotumia hiyo dini wakiwa na ajenda ya siku nyingi sana hapa Tanzania.

Halafu sote tunajifanya hatujui mzizi wa tatizo hatuujui; wakati tukijuwa pamekuwepo na kundi hilo toka enzi za uhuru wa taifa hili.

Watu wanataka waelezwe vipi ndiyo wajue kuwa tatizo limekuwepo toka siku nyingi.

Sasa wamejikusanya, na mwanya mzuri umepatikana; wanatekeleza lengo. la muda mrefu kwa sababu hali inawaruhusu kufanya hivyo.
Mimi nasema ni dini.

Kwa nini dunia nzima ni wao tu waislam wanaotumika kuchinja watu kama kuku, kwa kuanzisha makundi ya kigaidi, Nigeria, Somalia, Kenya, Congo, Sudan, nk.

Kwa nini watumie maneno ya Quran, kama taqbir wanapokuwa wanachinja watu.
 
Huyu Sheikh Mwaipopo ni sawa na Fr Charles Kitima tu. Rejea Newton's third law of motion, "whenever one object exerts a force on a second object, the second object exerts an equal and opposite force on the first"
Hawafanani Kitima na huyo toilet paper. Kitima ana jeshi gani. Ametoa kauli gani ya kuuwa mtu.

Kitima anadai haki na kukemea utekaji.
 
Hawafanani Kitima na huyo toilet paper. Kitima ana jeshi gani. Ametoa kauli gani ya kuuwa mtu.

Kitima anadai haki na kukemea utekaji.
Wako sawa tu. Kitima anahamasisha maandamano na vurugu kupitia madhabahu yake kama Katibu wa TEC. Jeshi lake ni CHADEMA.

Mwaipopo anatoshia waandamanji kupitia mimbari ya masjid, jeshi lake ni hao mbwa mwitu.

Both teams to win
 
Masheikh wanaoshindwa kuwatetea Masheikh wenzao wakibambikiwa kesi ndio waje wamkemee huyo Mpumbavu.

Ukweli usemwe hapa Bongo Waislamu wana bahati mbaya sana ya kupata viongozi wachumia tumbo.

Nawaza tu unaanzaje kumshawishi Father Kitima atoke aongee usengerema kama wa huyo Sheikh!!
Wakatoliki tuna mitazamo ya kimaendeleo kupita maelezo. Linapotaka kujengwa kanisa wenyeji wa eneo husika huhakikisha wanapata eneo kubwa zaidi ya heka mbili ikiwezekana.

Ili wajenge kanisa lenyewe na mashule ikiwezekana tawi la benki litakuwepo. Nadhani kanisa katoliki lenye eneo dogo nimeliona pale Tandale peke yake, kwingineko tunajali maisha ya kiroho na ustawi wa waumini pia.
 
Mimi nasema ni dini.

Kwa nini dunia nzima ni wao tu waislam wanaotumika kuchinja watu kama kuku, kwa kuanzisha makundi ya kigaidi, Nigeria, Somalia, Kenya, Congo, Sudan, nk.

Kwa nini watumie maneno ya Quran, kama taqbir wanapokuwa wanachinja watu.
Mimi siyo mtaalam wa dini hiyo, kwa hiyo sina uwezo wa kuitetea sawasawa.
Ila, ninachojuwa mimi siyo waumini wote wa hiyo dini wanaotekeleza hayo ya kuchinja watu; bali ni makundi ya watu wanaojitambulisha kuwa waumini wa dini hiyo ndio wahusika wa matukio hayo.

Kama kuna mafundisho ndani ya dini hiyo yanayoelekeza matendo hayo, basi nieleze nami niweze kuwa na ufahamu juu yake, na nitaanza kuamini kama unavyoamini wewe.

Natumaini umenielewa vizuri.
 
Serikali imejiweka kwenye mtego mbaya kabisa.
Maana kwa sasa maandamano yakitangazwa tu askari watasambaa kama hivi Leo.
Maana yake hata askari wenyewe wanaweza wakaanzisha matangazo ya maandamano kwenye mitandao ili wapate posho au shughuli ya kufanya.
Na Serikali lazima iweke maaskari kila matangazo ya aina hiyo yakifanyika na biashara lazima zifungwe hiyo wiki kwa kuogopa kuwa inaweza kuwa kweli wakaandamana.

Kwa hiyo,makundi yote yanayonufaika na maandamano au vitisho vyake kama vile akina Shehe Mwaipopo,Askari wa aina zote nk watakuwa wanahamasisha maandamano kila wakijisikia ili wanufaike bila kutumia gharama kubwa.
 
Back
Top Bottom